TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Nailed itTakataka za Nyerere abaki nazo
Jamaa kabishi na kajuaji lakini hakana lolote
Nailed itTakataka za Nyerere abaki nazo
Jamaa kabishi na kajuaji lakini hakana lolote
Mkuu hiyo stori ndefu, lakini clearly ndani ya Idara hakutengeneza a sound working machinnery, na alihisiwa kuegemea sehemu fulani ya upinzani: Mrema.Hebu eleza: Kombe alileta tatizo gani hata akauawa? Kifo chake hadi leo sijakipatia ufafanuzi.
Akauawa kwa hilo? Sasa naamini kweli kuna 'civilized' na 'uncivilized' countries!Mkuu hiyo stori ndefu, lakini clearly ndani ya Idara hakutengeneza a sound working machinnery, na alihisiwa kuegemea sehemu fulani ya uoinzani: Mrema.
Boss, kweli wewe mtoto wa juzi, tumetoka mbali sana.Akauawa kwa hilo? Sasa naamini kweli kuna 'civilized' na 'uncivilized' countries!
Unafikiri kwa nini office iko chini ya Rais.....!!?Nani alikwambia idara ya usalama wa Taifa kazi yake kumlinda Rais kama ingekuwa hivyo singekuwa Raha..
Siku hizi hii tabia mbovu kabisa inachipukia kwa kasi; kuuliza kabila, ukanda na udini. Hebu tuiache. #Tusimame na Utanzania wetu. 🙏🙏🙏🙏KWANZA ni mtanganyika au wa upande zipi? Naongeza KWa swali lako
At least umeandika kitu.Kennedy aliuawa kwa Mambo mengi na Wala si usalama wa nchi,alitaka kuiondoa nchi Vietnam wakati wahuni walikua wakipiga mamilioni kwa siku kwa kuliuzia jeshi silaha na vifaa vingine,alitaka kuibadili CIA aliona ipo kiwaky, Yitzhak Rabin aliuawa si kwa kuhatarisha usalama wa Israel Bali kupendelea zaidi amani na Palestine
Nyerere aliwahi kuwataja kwenye mojawapo ya hotuba zake kama "watu wa ajabu sana"CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko Rais
Maana yake please!IAlafu jamaa wanasema alikuwa mtu wa upinde
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.
Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Tuseme kwa mfano zikitokea fujo za kiwango cha juu yuko mahali au bar; yeye ananyanyuka kwenye kiti kwenda kupiga simu PolisiKazi zao sio kuchukua hatua, wao ni kusema nini kimetokea au kinaenda kutokea chenye hatari, wanapeleka taarifa kwa wanasiasa, ndio watajua nini cha kufanya.
Depo la 1993,
Adv dip mzumbe, mastaz pretoria!
Ni ndugu wa mke wa mchungaji wa kanisa la mchepuko wa afande rco
Hapana; inaitwa MISS; Marekani.......Idara ya usalama wa taifa ya marekani nayo inaitwa TISS [emoji15][emoji15][emoji15]
Sheria inakataza kufanya law enforcement... maana yake hawawezi kutoka ofisini wakasema wanaenda kumkamata Lema!Tuseme kwa mfano zikitokea fujo za kiwango cha juu yuko mahali au bar; yeye ananyanyuka kwenye kiti kwenda kupiga simu Polisi
Na sina hakika kama unaweza ukapelekwa huko kama sio 'nyoka'Alikuwa makamu wa balozi... anyways, balozi zote zimejaa nyoka!
Usiwe zezeta ww ukiona mwislam yoyote mzanzibar mbona alikuwepo toka enzi za magufuliBibi anajaza wazanzibar kwenye idara nyeti.
Sio makumbusho tu, Babu kubwa ni MbweniHivi ndiyo hao wa pale makumbusho?
TaboraHivi yule Bwana Makungu yupo wapi?
Yule itakuwa ana kinyongo hadi leoHivi yule Bwana Makungu yupo wapi?