CIA mgumu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2022
- 961
- 1,962
Na anaumia sana kutoka kuwa Naibu wa idara na kwenda kuwa kuwa afisa tawala duuhYule itakuwa ana kinyongo hadi leo
Na anaumia sana kutoka kuwa Naibu wa idara na kwenda kuwa kuwa afisa tawala duuhYule itakuwa ana kinyongo hadi leo
Japo anaweza kurudi umri bado uko poaYule itakuwa ana kinyongo hadi leo
Wewe ndio huna loloteTakataka za Nyerere abaki nazo
Jamaa kabishi na kajuaji lakini hakana lolote
Nyerere alileta ujamaa ambao ni mzuri sana manake ule ujamaa ungeendelea nchi yetu Leo ingekuwa communist country look at China is a communist country na wako mbali sana sana sana mabepari waliona kabisa kwamba ujamaa sio jambo jema kwao na ndio maana wakaconive na vijana wakaja na azimio la vijana ambapo walikiwa wanapinga communism na hapo ndipo capitalists walipata nguvu wakaanza kuleta capitalism nchini kwetu na ndiko ilipotufikisha hapaHao nyoka wamesaidia nini wakati nchi inazidi kuzama kwenye dimbwi la umasikini.
Nyerere aliacha mfumo wa hovyo sana wa uongozi.
Mwenyewe hapo ni chawa😂Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.
Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Nadhani unamzungumzia J. Edgar Hoover ambaye alikuwa Director wa FBI kutoka mwaka 1935 mpaka mwaka 1972. Hakuwa Director wa CIA.Inasemekana DG wa CIA (ambae mpaka sasa ndo DG aliekaa miaka mingi kwenye kiti kuliko yeyote- alipata fununu kuwa Rais Kennedy anataka kumreplace! Jamaa kutetea kiti chake akamla kichwa. Na hii ikafanya Marais wote waliokuja baada ya Kennedy kumwogopa jamaa! Alafu jamaa wanasema alikuwa mtu wa upinde
Jack Ruby alikuwa Polisi? Jack Ruby alikuwa ni mmiliki wa Nightclub na kuna madai pia alikuwa ni memba wa Chicago Mafia.Kennedy alipigwa risasi nyingi toka angle tofauti..mtu mmoja hawezi fanya hivyo, Oswald jumba bovu kaangushiwa ndiyo maana chapu akauawa na polisi hadharani
Jack Ruby alikuwa Polisi? Jack Ruby alikuwa ni mmiliki wa Nightclub na kuna madai pia alikuwa ni memba wa Chicago Mafia.
Ni Jack Ruby ndie alimuua Lee Harvey Oswald siku mbili baada ya Oswald kukamatwa.
Oswald alikuwa alikuwa anatolewa na askari kutoka makao makuu ya Polisi huko Dallas, Texas wakimpeleka kwenye Jela ya Mji. Wakati wakimpeleka kwenye gari ndio Jack Ruby akajitokeza na kumpiga risasi. Ilikuwa live katika TV.
Picha yake?Yule itakuwa ana kinyongo hadi leo
DuhDepo la 1993,
Adv dip mzumbe, mastaz pretoria!
Ni ndugu wa mke wa mchungaji wa kanisa la mchepuko wa afande rco
Mzanzibar Pure, Pure, Pure, nina uhakika 100% kuwa ni Mzanzibar.SAID HUSSEIN MASORO NI MUHA SIO MSUKUMA
Labda zanzibar ya manyovu.Mzanzibar Pure, Pure, Pure, nina uhakika 100% kuwa ni Mzanzibar.
Sio kosa kuwa na Spy master Mzenji.
View attachment 2470343
Nashangaa watu wanabwabwaja tu. Yaani intelligence wafanye misheni bila Rais kujua? Hamna kitu kama hicho. Kila kitu lazima kiwe approved.Hakuna kitu kama hicho, rais ndiye kila kitu, hiyo kusema rais hajui kitaalamu wanaita 'deniability'.
Ni lazima wamlinde rais na kuhakikisha mambo yakienda mrama wao ndio wanabeba zigo la lawama.
In reality rais anajua kila kitu, tena Marekani hata intelligence committee ya congress wanapata taarifa nyeti zote.
Uongo.Inasemekana DG wa CIA (ambae mpaka sasa ndo DG aliekaa miaka mingi kwenye kiti kuliko yeyote- alipata fununu kuwa Rais Kennedy anataka kumreplace! Jamaa kutetea kiti chake akamla kichwa. Na hii ikafanya Marais wote waliokuja baada ya Kennedy kumwogopa jamaa! Alafu jamaa wanasema alikuwa mtu wa upinde
Acha uongo.Rais ni kila kitu kwa Afrika tu, nchi kama Marekani inaongozwa na Institutions, Rais hata awe wa chama gani anakuwa guided upon.
Hiyo congress unayosema wanapewa taarifa ni zile ambazo Secret Service husika imeamua kuwapa.
Agency kama CIA kwa mfano, ni kama nchi ndani ya nchi, wanajiendesha wenyewe na wanajiamulia wenyewe, wanampa taarifa Rais ambazo wameamua wenyewe kumpa, hawaongozwi na Rais, hawaripoti kwa Rais.
Kumlinda Rais ndiyo wanamlinda, ila wakiona analeta ujinga wanakula kichwa.
Kuna watu humu ni wapotoshaji sana. Wanaleta stori za vijiweni kama facts.Wewe unamsemea Edgar Hoover ambae hakuwa Chief Spy wa CIA huyo alikuwa mkuu wa FBI
Uongo wa kufanyaje..Acha uongo.
Wewe unatakiwa useme ipi ni stori ya kijiweni na fact ni ipi, otherwise you have to shut up!Kuna watu humu ni wapotoshaji sana. Wanaleta stori za vijiweni kama facts.