Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Diwani hakutoka moja kwa moja - RAS Kagera afu Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru - kisha DG TISS
 
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Hujui lolote kuhusu diwani na jpm,ujinga ni mzigo,
 
Wale watu wamekuja in three cars. Zile gari zote zilikuwa na rangi moja. Sikuona nani aliyefika. Niliwaona wale wapambe tu,watu wameshiba, wanaonekana wanaishi vizuri,wanaonekana watu affluent. Affluent,not effete,mind you. Kwa hiyo nikafikiria mtu aliyefika ni important. Still,sikuona nani amefika. I was in my room. Walipokuwa wanaondoka,I tried to get a glimpse,but still I could not wee anything. Baadaye nikauliza,"Ni nani aliyefika?" Yule niliyemuuliza akasema ,"I did not see. I was too busy.' Eti,he did not see wakati yeye ndiye butler.
Mpaka leo asubuhi ndio nimemuuliza huyu family member(alipokuwa anatengeneza omelette),ndiyo ameniambia,yule alikuwa DG....,ndio nimeelewa.
 
Reason?
 
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Fafanua zaidi
 
Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.

Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Hata Marekani CIA iko chini ya Rais kwa kiwango kikubwa japo huripoti na katika kamati za bunge.
 
Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.

Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Ulimaliza kila kitu hapa
 
Huyo Kipilimba uliyemtaja na mwenzake huyu Bwana Diwani Msuya, ndio wanaingia record ya kuwa Wakurugenzi waliokaa muda mfupi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.

Nadhani point ni kuwa hata kama mtu ni wa idarani, kama amekuwa akifanya kazi nje ya idara muda mrefu, inakuwa ngumu kufanikiwa. Samia kateua insider
Huyu mpya ni insider au outsider??
 
Diwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.

Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Huo umakini upo wapi Sasa?na Leo mtamsifia tena!!
 
Huyu hata uteuzi wake sikusikia hadi katenguliwa, Diwani athumani katolewa lini?
 
Back
Top Bottom