Mateo Kovasic
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 420
- 335
Hakuna mwenye uhakika na Dini yake ila alikuwa Mkurugenzi msaidizi wa TISS
Hajateuliwa kutoka Bakwata ameteuliwa kutoka hukohuko kwenye makorido yao
Jibu zuri sana
Hakuna mwenye uhakika na Dini yake ila alikuwa Mkurugenzi msaidizi wa TISS
Hajateuliwa kutoka Bakwata ameteuliwa kutoka hukohuko kwenye makorido yao
Anaonekana ni mzanzibariView attachment 2468413
Masoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?
Mwenye CV yake tunaiomba!
======
Update:
Mmeshaambiwa ni mtu wa kigoma.Anaonekana ni mzanzibari
Kutokana na wadhifa wake ana haki ya kuendeshwa. Wewe ulitaka aendeshe gari mwenyeweJamaaa ataendeshwa mpaka akae kisawasawa
Brilliant [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kutokana na wadhifa wake ana haki ya kuendeshwa. Wewe ulitaka aendeshe gari mwenyewe
TISS unaripoti kwa DSO.Tiss wengi ni weupe kichwani
Wanabebwa na wale wa makao makuu. Wale ndio wataalam tuuu ila hizi ngazi nyingine ni weupe mno ndio maana maeneo mengi utasikia amekuja kutoka makao
unajua mkiona mweupe tu mzanzibari hata salum wa takukuru mlisema hivyo kumbe ni mnyanwezi wa nzegaAnaonekana ni mzanzibari
Na ndo Maana Wana endelea kwasababu Wana taasisi imara kuliko mtu... AFRICA mtu au raisi ananguvu kuliko taasisi zote ndani ya nchi yani Africa ukiwa raisi hio nchi ni yako na Familia yako kwa wakati huo[emoji23]CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko Rais
Nani!?..mbona ni nassor..nassor na mchungaji wapi na wapi!?
Wewe umejuaje kama alikuwa Hana uzoefu na uelewa wa idara... Diwani alikuwa kafika rank ya juu hata ndani ya idara ya usalama wa Taifa kama ambavo alifika juu kicheo ndani ya polisi... U think mamlaka za uteuzi inaweza mpa mtu kazi nyeti na ya juu kiasi kile kama hakuwa na uelewa na ujuzi wa namna yakuiemdesha idaraDiwani hakuwa na sifa zaidi ya kuwa Chawa wa Magufuli. Ndio maana alitolewa polisi Moja kwa Moja akapelekwa kwenye Idara japo naye alikuwa usalama Lakini uzoefu na uelewa wa Idara ndani na nje ulipaswa kuzingatiwa.
Hongera Mama Dr Samia, uko makini na kazi.
Nchi iko salama kwa kiwango cha juu, halafu unatoa maneno kama haya kwa taasisi nyeti ya nchi. Si sawa. Kuna watu wanaofikiri kwa level ya chekechea mmelewa usalama na utulivu wa hali ya juu wa nchi. Kuna wenzetu wanatamani wangekuwa ni Watanzania. #Tuheshimu taasisi zetu pendwa za dola. Tukosoe na kushauri kwa hekima. 🙏🙏🙏Tiss ni uozo
Tiss wengi ni weupe kichwaniNchi iko salama kwa kiwango cha juu, halafu unatoa maneno kama haya kwa taasisi nyeti ya nchi. Si sawa. Kuna watu wanaofikiri kwa level ya chekechea mmelewa usalama na utulivu wa hali ya juu wa nchi. Kuna wenzetu wanatamani wangekuwa ni Watanzania. #Tuheshimu taasisi zetu pendwa za dola. Tukosoe na kushauri kwa hekima. [emoji120][emoji120][emoji120]
Wana report zile nyepesi nyepesi tuTISS unaripoti kwa DSO.
DSO anaripoti kwa Jokate, Nikki wa Pili, Mchopanga, Dogo Janja Nasaari, Halima Bulembo.
Ujinga tu
Hakuna taarifa serious nchi hii.Wana report zile nyepesi nyepesi tu
Wengi wao waliingia kimichongo,na kuwaacha wenye uwezo na intellijensia mtaani ndio maana Iko hivyo.Hata mimi huwa najiuliza Kila mwaka CAG anasema tumeibiwa kwenye Madini, utalii, fedha za umma, ardhi na resources nyingi. Hawa watu tunaambiwa wako kila mahali kwani kazi zao ni nini hasa?
InawezekanaWengi wao waliingia kimichongo,na kuwaacha wenye uwezo na intellijensia mtaani ndio maana Iko hivyo.