Said Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho

Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, kinashangaza sana!, kina katiba, yenye taratibu zote za nidhamu, lakini kwanini zinaendelea kufanya maamuzi kwa a kangaroo court?!.
  1. Hatua ya kwanza ni kwa Said Issa Mohammed kuandikiwa barua ya kusimamishwa uanachama kwa maandishi ya mashitaka, yenye tuhuma mahsus na kutakiwa kujibu kwa maandishi ndani ya siku 14
  2. Ndipo kinaitishwa kikao cha nidhamu, na kumpa fursa ya kusikilizwa.
  3. Baada ya hapo ndipo wanafikia maamuzi ya kumfukuza baada ya kuthibisha tuhuma
  4. Barua hiyo ya kumfukuza pia inamuonyesha kama hajaridhika na uamuzi huo, ana haki ya kukata rufaa kikao kinachofuatia.
  5. Walipowatimua wale madiwani wa Arusha, tuliwaeleza Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
  6. Walipomtimua Juliana Shonza, tuliwaeleza Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  7. Walipowatimua Zitto, Kitila na Mwigamba, tuliwaeleza Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
  8. Walipowatimua wale 19, pia tukawaeleza, Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?
  9. Mlipo mtimua Kafulila na kumuita Sisimiza tuliwaeleza Kafulila, hiyo sio njia sahihi ya kujenga chama chako cha NCCR- Mageuzi
  10. Na sasa ndio linakuja hili!, I thought Chadema ni smart enough kulijua hili jitu jinga, liko funded kuwapotezea muda, focus na concentrations, you should have done the right thing and do it right, au nyinyi mnaenjoy hizi courtroom drama?.
P
Hata Chama chako cha CCM kilivyomtimua Mzee Malisa kilifuata taratibu hizo hizo ulizoziweka.
 
Kati ya hayo 1-10 yapi mliyafanya kwa mwanchama wenu Humphrey Polepole mwaka jana.?

Usivamie tu mahali kwa jirani tu na kuanza kutoa maelekezo vipi chamani kwenu mmedeal vipi na issue ya Polepole , maana tangu tarehe 6 mwezi October sio chama wala wanachama mmetoa maelezo yoyote.
 
Haitopita saa 6 kutoka sasa jasusi uchwara Yericko Nyerere atakua amejipatia cha kupost leo kama content .
Nadhani inafaa pawepo na utaratibu mbadala, juu ya huu uliopo sasa, ambao ni sahihi: kwamba uanachama utaamuliwa katika ngazi hiyo inayotumika sasa.
Katika hali ya mambo ya kawaida ni sahihi; lakini inapokuja kwa mtu, kwa mfano kujivua uanachama mwenyewe na kuhamia chama kingine; kama alivyofanya Msigwa, huyo moja kwa moja uanachama wake unakoma, na hawezi kudai tena kurudi ndani ya chama (kwa sababu, kwa mfano, kwamba hajawahi kuachishwa uanachama wake kwa kufuata taratibu za chama kama zilizotumika hapa).

Pawe na makosa ambayo yatakuwa yameainishwa wazi, ambayo mwanachama yeyote akiyafanya, uanachama wake unaweza kusitishwa na ngazi za juu za chama bila kusubiri hii ngazi ya chini.

Kwa hiyo Yericko bado ni mwanachama halali wa CHADEMA; maana sikumbuki kusikia huko tawini kwake wakifanya kikao cha kumfukuza ndani ya chama hicho.
 
Anaruhusiwa kukata rufaa ngazi za juu kwa Heche
 
Kati ya hayo 1-10 yapi mliyafanya kwa mwanchama wenu Humphrey Polepole mwaka jana.?

Usivamie tu mahali kwa jirani tu na kuanza kutoa maelekezo vipi chamani kwenu mmedeal vipi na issue ya Polepole , maana tangu tarehe 6 mwezi October sio chama wala wanachama mmetoa maelezo yoyote.
Duh...!, usinikumbushe kuhusu Polepole, utaniumiza!.
  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
  3. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  4. GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
  5. GE2025 - Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!
  6. GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
  7. Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!
  8. Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
  9. GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!
  10. Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
  11. GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
  12. GE2025 - Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!

    Natumaini huu ni uthibitisho Balozi Polepole alikuwa mtu wangu sana!. Ametekwa na watu wasiojulikana mpaka sasa hatujui yuko wapi!. Jambo moja muhimu, tofautisha kati ya watu, binadamu, chama cha mapinduzi CCM na serikali, ni vitu vitatu tofauti!. P
 
CHADEMA haijafuata utaratibu wake wenyewe kwa mujibu wa katiba yao kwenye kumfutia huyu mwanachama wake uanachama. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa demokrasia ndani ya chama. Kama mtu ninayependa kuona demokrasia ndani ya vyama ninaiamuru CHADEMA kubadili maamuzi yake.
 
Kati ya hayo 1-10 yapi mliyafanya kwa mwanchama wenu Humphrey Polepole mwaka jana.?

Usivamie tu mahali kwa jirani tu na kuanza kutoa maelekezo vipi chamani kwenu mmedeal vipi na issue ya Polepole , maana tangu tarehe 6 mwezi October sio chama wala wanachama mmetoa maelezo yoyote.
Akikujibu nibeep!
 
Kuna mapungufu machache katika huu waraka.
1.Ingawa inasema amakuzwa na kanda ya Pemba, letter head ni ya Unguja.
2.Walitakiwa wataje vifungu vilivyokiukwa.
Barua kama hizi zinapaswa kuandikwa kwa umakini ama sivyo
mambo kama haya yataweza kumpa nafasi ya kuwasumbua tena.

Amandla...
1. Hiyo siyo barua aliyoandikiwa muhusika, hiyo ni "PRESS RELEASE" au "TANGAZO/TAARIFA KWA UMMA"

2. Bila shaka kwenye barua official aliyoandikiwa itakuwa imezingatia yote yanayokutia mashaka..

3. Said Issa Mohamed hawezi kutumia taarifa hii kukatia rufaa kama akitaka bali atatumia barua aliyoandikiwa rasmi ambayo lazima itakuwa imetaja na vifungu vya katiba au kanuni alizokiuka...
 
CHADEMA haijafuata utaratibu wake wenyewe kwa mujibu wa katiba yao kwenye kumfutia huyu mwanachama wake uanachama. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa demokrasia ndani ya chama. Kama mtu ninayependa kuona demokrasia ndani ya vyama ninaiamuru CHADEMA kubadili maamuzi yake.
Taja vifungu vya kanuni/katiba ambavyo havikufuatwa..
 
View attachment 3602875

TAARIFA KWA UMMA​

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pemba kinaujanisha umma na wanachama wake kuwa Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba iliketi katika kikao chake cha dharura tarehe 06 Juni 2026 katika Ukumbi wa Pride ya Zamani, Chake Chake, Pemba. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa Kanda, Mheshimiwa Omar Nassor, kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na taratibu za Chama.

Ajenda ya kikao ilikuwa ni kujadili suala la nidhamu linalomhusu Ndugu Said Issa Mohammed. Kamati ilipokea na kujadili taarifa iliyowasilishwa mbele yake na kufanya tathmini kwa kuzingatia masharti ya Katiba, Kanuni na Miongozo ya Chama.

Baada ya kujiridhisha kuwa Ndugu Said Issa Mohammed amekiuka Katiba, Kanuni na Miongozo ya Chama, Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba imeazimia kumfukuza uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuanzia jana tarehe 06 Juni 2026.

Kutokana na uamuzi huo, Chadema Kanda ya Pemba kinautaarifu umma na wanachama wote kuwa kuanzia tarehe tajwa, Ndugu Said Issa Mohammed si mwanachama wa Chadema na hatambuliki tena kama kiongozi au mwakilishi wa Chama katika ngazi yoyote. Hivyo, kauli, matendo au shughuli zozote atakazozifanya baada ya tarehe hiyo zitakuwa ni za kwake binafsi na hazitahusishwa na Chama.

Imetolewa leo Jumapili tarehe 07 Juni 2026 na:

Pia soma: CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa Mohamed kuwa aliishtaki CHADEMA kwa niaba yao

Huyo ilikuwa ni lazima aondoke kwa kufanya kazi ya Abdul. Tuone hivyo VIPANDE 30 alivyopokea vitamsaidia vipi....!!
 
Nadhani inafaa pawepo na utaratibu mbadala, juu ya huu uliopo sasa, ambao ni sahihi: kwamba uanachama utaamuliwa katika ngazi hiyo inayotumika sasa.
Ndio hasa kwa hawa wasaka fursa wanaotumiwa na CCM

Katika hali ya mambo ya kawaida ni sahihi; lakini inapokuja kwa mtu, kwa mfano kujivua uanachama mwenyewe na kuhamia chama kingine; kama alivyofanya Msigwa, huyo moja kwa moja uanachama wake unakoma, na hawezi kudai tena kurudi ndani ya chama (kwa sababu, kwa mfano, kwamba hajawahi kuachishwa uanachama wake kwa kufuata taratibu za chama kama zilizotumika hapa).
Hawa nilipendekeza wakirudi wawe wanachama wa kawaida na wasiwahi kupewa uongozi wowote ndani ya chama.
Pawe na makosa ambayo yatakuwa yameainishwa wazi, ambayo mwanachama yeyote akiyafanya, uanachama wake unaweza kusitishwa na ngazi za juu za chama bila kusubiri hii ngazi ya chini.
Naunga mkono hili.
Kwa hiyo Yericko bado ni mwanachama halali wa CHADEMA; maana sikumbuki kusikia huko tawini kwake wakifanya kikao cha kumfukuza ndani ya chama hicho.
Huyu kibaka alijiondoa mwenyewe siku ya kuondoka aliambatana na James Mbowe wakafanya na press akasema amejiridhisha CHADEMA imekufa na haitoinuka tena ila ajabu hadi leo ili apate engagement mitandaoni anaitaja CHADEMA akiongelea chama chake cha uficho [CHAUMMA] ila kiuhalisia Yericko hadi sasa ni mwanaccm na anawafanyia kazi CCM muda sio mrefu atatoa hilo cover na kupewa fulana ya kijani.
 
CHADEMA haijafuata utaratibu wake wenyewe kwa mujibu wa katiba yao kwenye kumfutia huyu mwanachama wake uanachama. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa demokrasia ndani ya chama. Kama mtu ninayependa kuona demokrasia ndani ya vyama ninaiamuru CHADEMA kubadili maamuzi yake.
We jamaa una mamlaka gani ya kuamuru chama
 
Ni kweli unajaribu kujenga hoja.. Ila ukweli ni hawamtaki.. Dhamira ya CHAMA ipo bayana..
Chama ni taasisi, sio issue ya kumtaka ama kumkataa, ukimfukuza mtu uanachama lazima ufuate taratibu, ndio maana zikawekwa, kwanini hazitumiki kuepusha hizi sintofahamu?.

Uzuri wewe ni mwanasheria by professional, unaonaje umshauri aende mahakamani?
 
Back
Top Bottom