Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Oooh mtoto mbaya sana yule snitch vibaya mno. Sasa apambane kwenye ubwabwa kule awe mbunge manina zake.Mapema sana, huoni hata mitandaoni kelele ziliisha na kesi aliyoifungua ilifutwa.
Oooh mtoto mbaya sana yule snitch vibaya mno. Sasa apambane kwenye ubwabwa kule awe mbunge manina zake.Mapema sana, huoni hata mitandaoni kelele ziliisha na kesi aliyoifungua ilifutwa.
Alishahamia kimya kimya chama la ubwabwa ila anajidai bado ni mwanachadema.Oooh mtoto mbaya sana yule snitch vibaya mno. Sasa apambane kwenye ubwabwa kule awe mbunge manina zake.
Niliona sms zake anawasema wajumbe walikula pesa za mbowe lkn hawakumpa kura. Yule asipokelewe kabisa kbisa shenzi kbsAlishahamia kimya kimya chama la ubwabwa ila anajidai bado ni mwanachadema.
Hii ni taarifa kwa umma sio minutes za kikao. Hayo ya kanuni sijui sababu zinakua kwenye minutes rasmi za kikao ambazo not necessary for public consumption.Kuna mapungufu machache katika huu waraka.
1.Ingawa inasema amakuzwa na kanda ya Pemba, letter head ni ya Unguja.
2.Walitakiwa wataje vifungu vilivyokiukwa.
Barua kama hizi zinapaswa kuandikwa kwa umakini ama sivyo
mambo kama haya yataweza kumpa nafasi ya kuwasumbua tena.
Amandla...
Nyie chama cha matusi tumewazoeaHivi wewe ni mwanamke au mwanaume? Kwa nini unajiita mama samia? Kama ni mwanaume halafu unajiita mama samia inaonekana una vinasaba vya ushoga
Huyo atakuwa alinunuliwa na kutumwa na Wahuni wa MbogambogaSaid Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho
Naam baada ya kushindwa uchaguzi alilalamika hivyo yeye na akina jasusi la bamia.Niliona sms zake anawasema wajumbe walikula pesa za mbowe lkn hawakumpa kura. Yule asipokelewe kabisa kbisa shenzi kbs
Hicho ndiyo chama cha demokrasia wanajiita watu wa kudai haki. Alikosea nini km alienda mahakamani chombo cha kutoa haki? Amini nawaambieni hakuna madikteta km chadema, eti itokee Lissu na Heche wachukue madaraka halafu atokee kima wa kuwakosoa? HAO NI MADIKTETA HALISI, huyo bwana kushtaki ni haki yake ilibaki kazi ya mahakama kudhibitisha shtaka lake.View attachment 3602875
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pemba kinaujanisha umma na wanachama wake kuwa Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba iliketi katika kikao chake cha dharura tarehe 06 Juni 2026 katika Ukumbi wa Pride ya Zamani, Chake Chake, Pemba. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa Kanda, Mheshimiwa Omar Nassor, kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na taratibu za Chama.
Ajenda ya kikao ilikuwa ni kujadili suala la nidhamu linalomhusu Ndugu Said Issa Mohammed. Kamati ilipokea na kujadili taarifa iliyowasilishwa mbele yake na kufanya tathmini kwa kuzingatia masharti ya Katiba, Kanuni na Miongozo ya Chama.
Baada ya kujiridhisha kuwa Ndugu Said Issa Mohammed amekiuka Katiba, Kanuni na Miongozo ya Chama, Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba imeazimia kumfukuza uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuanzia jana tarehe 06 Juni 2026.
Kutokana na uamuzi huo, Chadema Kanda ya Pemba kinautaarifu umma na wanachama wote kuwa kuanzia tarehe tajwa, Ndugu Said Issa Mohammed si mwanachama wa Chadema na hatambuliki tena kama kiongozi au mwakilishi wa Chama katika ngazi yoyote. Hivyo, kauli, matendo au shughuli zozote atakazozifanya baada ya tarehe hiyo zitakuwa ni za kwake binafsi na hazitahusishwa na Chama.
Imetolewa leo Jumapili tarehe 07 Juni 2026 na:
Pia soma: CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa Mohamed kuwa aliishtaki CHADEMA kwa niaba yao
Sasa chadema kuna hela gani au hiyo ombaomba na tonetone?Sisty, Ccm na serikali yake wampe hela yake sasa, maana washampotezea ramani.
Kuondoka chadema ni neema mshukuru Mungu, kuwa mwanachama wa chadema unakuwa km zombie akili zote unazikabidhi kwa wavuta bangi km Heche,Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, kinashangaza sana!, kina katiba, yenye taratibu zote za nidhamu, lakini kwanini zinaendelea kufanya maamuzi kwa a kangaroo court?!.
P
- Hatua ya kwanza ni kwa Said Issa Mohammed kuandikiwa barua ya kusimamishwa uanachama kwa maandishi ya mashitaka, yenye tuhuma mahsus na kutakiwa kujibu kwa maandishi ndani ya siku 14
- Ndipo kinaitishwa kikao cha nidhamu, na kumpa fursa ya kusikilizwa.
- Baada ya hapo ndipo wanafikia maamuzi ya kumfukuza baada ya kuthibisha tuhuma
- Barua hiyo ya kumfukuza pia inamuonyesha kama hajaridhika na uamuzi huo, ana haki ya kukata rufaa kikao kinachofuatia.
- Walipowatimua wale madiwani wa Arusha, tuliwaeleza Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
- Walipomtimua Juliana Shonza, tuliwaeleza Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
- Walipowatimua Zitto, Kitila na Mwigamba, tuliwaeleza Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
- Walipowatimua wale 19, pia tukawaeleza, Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?
- Mlipo mtimua Kafulila na kumuita Sisimiza tuliwaeleza Kafulila, hiyo sio njia sahihi ya kujenga chama chako cha NCCR- Mageuzi
- Na sasa ndio linakuja hili!, I thought Chadema ni smart enough kulijua hili jitu jinga, liko funded kuwapotezea muda, focus na concentrations, you should have done the right thing and do it right, au nyinyi mnaenjoy hizi courtroom drama?.
Kuondoka chadema ni neema mshukuru Mungu, kuwa mwanachama wa chadema unakuwa km zombie akili zote unazikabidhi kwa wavuta bangi km Heche,
Lembrus Mchome aliwekwa kinyumba na msajili na jambo hili lilileta mtafaruku mkubwa kwenye ndoa ya Msajili baada ya habari hizi kuvuja.Amekua kama Lembrus Mchome aliyepewa nyumba na kulipiwa rent na msajiliccm .
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha, sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa akili unabakisha kiduchu tu za kuvukia barabara na kushangilia watawala.Kuondoka chadema ni neema mshukuru Mungu, kuwa mwanachama wa chadema unakuwa km zombie akili zote unazikabidhi kwa wavuta bangi km Heche,
Chadema hawapoi tu kha!
Amewahiwa kwa mbele zaidiSafi. Alikuwa anataka kukata rufaa, sasa tuone atakata rufaa kama nani..
Hata barua ikiwa na mapungufu, hawezi kwwnda Mahakamani bali ngazi za juu.. Ukienda mahakamani ni umejifuta chama kwa katiba ya chadema. Na akienda ngazi za juu, watarekebisha barua ikae vizuri then wampe. Hana pa kutokea🤣Kuna mapungufu machache katika huu waraka.
1.Ingawa inasema amefukuzwa na kanda ya Pemba, letter head ni ya Unguja.
2.Walitakiwa wataje vifungu vilivyokiukwa.
Barua kama hizi zinapaswa kuandikwa kwa umakini ama sivyo
mambo kama haya yataweza kumpa nafasi ya kuwasumbua tena.
Amandla...