Taratibu zote zilifuatwa,Hata Chama chako cha CCM kilivyomtimua Mzee Malisa kilifuata taratibu hizo hizo ulizoziweka.
Uanasheria wangu ni kuwasaidia wananchi wa kawaida wasio na uwezo wa kuweka wakili,Uzuri wewe ni mwanasheria by professional, unaonaje umshauri aende mahakamani?
Paskali umesahau na la sisiemu kumfunga lupango Mzee malisa baada ya kutoa maoni yake.Taratibu zote zilifuatwa,
P
- Aliandikiwa barua ya wito yenye tuhuma mahsus na kupewa muda wa kutosha kujibu tuu, - hakuitika wito na barua hakuijiu
- Akapewa barua ya pili ya taarifa ya kikao na wito wa kuja kujieleza, hakuja
- Kikao kikakaa na kupitisha uamuzi in absential
- Barua yake ya kufukuzwa imetaja makosa, vifungu na haki yake ya kukata rufaa.
Chama chochote cha siasa sio chombo cha dola, hakiwezi kumuweka mtu yeyote lupango, ukiondoa Chadema ile ya Ufipa kuwa na torture chamber, Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa sijasikia chama kingine chochote kuwa na lupango yake!.Paskali umesahau na la sisiemu kumfunga lupango Mzee malisa baada ya kutoa maoni yake.
Hahaaa umeeleweka paskali.Chama chochote cha siasa sio chombo cha dola, hakiwezi kumuweka mtu yeyote lupango, ukiondoa Chadema ile ya Ufipa kuwa na torture chamber, Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa sijasikia chama kingine chochote kuwa na lupango yake!.
P
Uanasheria wangu ni kuwasaidia wananchi wa kawaida wasio na uwezo wa kuweka wakili,
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=g6n1ZOd9HTbQ_YSh
Yeye ana uwezo ataweka wakili na take it from me, atawasumbua!.

Ni kawaida Nabii huwa hakubaliki nyumbani, na kwa vile mimi sio wakili wa litigations, kwenda mahakamani, mimi ni wakili wa legal opinion, sio huwezi kunichukua, bali ni mimi ndio sichukui kesi kwasababu siendi mahakamani, lakini uwezo wangu naujua!, kitendo tuu cha kujenga kibanda cha constitution law peke yake, sii mchezo!, LL.B yangu ni (Hons), kupata hons LL.B ya UDSM, is not a joke!, kwa vile eneo langu la ubobezi wa sheria ni kwenye eneo la kupiga porojo porojo, mawakili wazuri wa litigations wapo, wapelekee kesi yako, na mimi na legal opinion yangu naendelea huku nikipiga porojo na kuwasaidia bure, watu wa kawaida kabisa wasio na uwezo kama hiviYaani mi nikiwa na kesi siwezi kukuchukua wewe ata kama ni bure. Sioni kama una uwezo mzuri kwenye sheria. Ni porojo porojo tu
Hivi wewe ni mwanamke au mwanaume? Kwa nini unajiita mama samia? Kama ni mwanaume halafu unajiita mama samia inaonekana una vinasaba vya ushogaCHADEMA haijafuata utaratibu wake wenyewe kwa mujibu wa katiba yao kwenye kumfutia huyu mwanachama wake uanachama. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa demokrasia ndani ya chama. Kama mtu ninayependa kuona demokrasia ndani ya vyama ninaiamuru CHADEMA kubadili maamuzi yake.
Mwisho wao wote hao uliowataja ulikuwaje? Kuna hata mmoja alishinda na akaendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA?Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, kinashangaza sana!, kina katiba, yenye taratibu zote za nidhamu, lakini kwanini zinaendelea kufanya maamuzi kwa a kangaroo court?!.
P
- Hatua ya kwanza ni kwa Said Issa Mohammed kuandikiwa barua ya kusimamishwa uanachama kwa maandishi ya mashitaka, yenye tuhuma mahsus na kutakiwa kujibu kwa maandishi ndani ya siku 14
- Ndipo kinaitishwa kikao cha nidhamu, na kumpa fursa ya kusikilizwa.
- Baada ya hapo ndipo wanafikia maamuzi ya kumfukuza baada ya kuthibisha tuhuma
- Barua hiyo ya kumfukuza pia inamuonyesha kama hajaridhika na uamuzi huo, ana haki ya kukata rufaa kikao kinachofuatia.
- Walipowatimua wale madiwani wa Arusha, tuliwaeleza Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
- Walipomtimua Juliana Shonza, tuliwaeleza Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
- Walipowatimua Zitto, Kitila na Mwigamba, tuliwaeleza Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
- Walipowatimua wale 19, pia tukawaeleza, Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?
- Mlipo mtimua Kafulila na kumuita Sisimiza tuliwaeleza Kafulila, hiyo sio njia sahihi ya kujenga chama chako cha NCCR- Mageuzi
- Na sasa ndio linakuja hili!, I thought Chadema ni smart enough kulijua hili jitu jinga, liko funded kuwapotezea muda, focus na concentrations, you should have done the right thing and do it right, au nyinyi mnaenjoy hizi courtroom drama?.
Pascal una uhakika CHADEMA hawajafuata taratibu?Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, kinashangaza sana!, kina katiba, yenye taratibu zote za nidhamu, lakini kwanini zinaendelea kufanya maamuzi kwa a kangaroo court?!.
P
- Hatua ya kwanza ni kwa Said Issa Mohammed kuandikiwa barua ya kusimamishwa uanachama kwa maandishi ya mashitaka, yenye tuhuma mahsus na kutakiwa kujibu kwa maandishi ndani ya siku 14
- Ndipo kinaitishwa kikao cha nidhamu, na kumpa fursa ya kusikilizwa.
- Baada ya hapo ndipo wanafikia maamuzi ya kumfukuza baada ya kuthibisha tuhuma
- Barua hiyo ya kumfukuza pia inamuonyesha kama hajaridhika na uamuzi huo, ana haki ya kukata rufaa kikao kinachofuatia.
- Walipowatimua wale madiwani wa Arusha, tuliwaeleza Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"
- Walipomtimua Juliana Shonza, tuliwaeleza Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
- Walipowatimua Zitto, Kitila na Mwigamba, tuliwaeleza Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
- Walipowatimua wale 19, pia tukawaeleza, Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?
- Mlipo mtimua Kafulila na kumuita Sisimiza tuliwaeleza Kafulila, hiyo sio njia sahihi ya kujenga chama chako cha NCCR- Mageuzi
- Na sasa ndio linakuja hili!, I thought Chadema ni smart enough kulijua hili jitu jinga, liko funded kuwapotezea muda, focus na concentrations, you should have done the right thing and do it right, au nyinyi mnaenjoy hizi courtroom drama?.
Hoja zangu ni based on hii taarifa kwa umma!.Pascal una uhakika CHADEMA hawajafuata taratibu?
Unadhani chadema walipaswa kuweka hizo details kwenye hii barua kwa ajili ya public consumption? Ili iweje?Hoja zangu ni based on hii taarifa kwa umma!.
View attachment 3603220
Has no substance at all, haionyeshi kosa, haionyeshi mchakato, ila kuna barua aliyoandikiwa mhusika labda itaonyesha hayo, kwasababu hii ni taarifa tuu.
Tusubiri mhusika ailete!.
P
Hivi kodi haijaisha huyu jamaa akarudi kwao Mwanga huko.Amekua kama Lembrus Mchome aliyepewa nyumba na kulipiwa rent na msajiliccm .
Ashatupiliwa mbali, toilet paper ilishafanya kazi yake ni kutupwa.Hivi kodi haijaisha huyu jamaa akarudi kwao Mwanga huko.
Kwa maana mjengo aliyopangiwa katupiwa virago yukoo kwao huko anaranda na njia.Ashatupiliwa mbali, toilet paper ilishafanya kazi yake ni kutupwa.
Mapema sana, huoni hata mitandaoni kelele ziliisha na kesi aliyoifungua ilifutwa.Kwa maana mjengo aliyopangiwa katupiwa virago yukoo kwao huko anaranda na njia.