Said Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho

Hata Chama chako cha CCM kilivyomtimua Mzee Malisa kilifuata taratibu hizo hizo ulizoziweka.
Taratibu zote zilifuatwa,
  1. Aliandikiwa barua ya wito yenye tuhuma mahsus na kupewa muda wa kutosha kujibu tuu, - hakuitika wito na barua hakuijiu
  2. Akapewa barua ya pili ya taarifa ya kikao na wito wa kuja kujieleza, hakuja
  3. Kikao kikakaa na kupitisha uamuzi in absential
  4. Barua yake ya kufukuzwa imetaja makosa, vifungu na haki yake ya kukata rufaa.
P
 
Paskali umesahau na la sisiemu kumfunga lupango Mzee malisa baada ya kutoa maoni yake.
 
Yaani mi nikiwa na kesi siwezi kukuchukua wewe ata kama ni bure. Sioni kama una uwezo mzuri kwenye sheria. Ni porojo porojo tu
Ni kawaida Nabii huwa hakubaliki nyumbani, na kwa vile mimi sio wakili wa litigations, kwenda mahakamani, mimi ni wakili wa legal opinion, sio huwezi kunichukua, bali ni mimi ndio sichukui kesi kwasababu siendi mahakamani, lakini uwezo wangu naujua!, kitendo tuu cha kujenga kibanda cha constitution law peke yake, sii mchezo!, LL.B yangu ni (Hons), kupata hons LL.B ya UDSM, is not a joke!, kwa vile eneo langu la ubobezi wa sheria ni kwenye eneo la kupiga porojo porojo, mawakili wazuri wa litigations wapo, wapelekee kesi yako, na mimi na legal opinion yangu naendelea huku nikipiga porojo na kuwasaidia bure, watu wa kawaida kabisa wasio na uwezo kama hivi
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=Yh8rnVl_qyqS50OlP
 
Hivi wewe ni mwanamke au mwanaume? Kwa nini unajiita mama samia? Kama ni mwanaume halafu unajiita mama samia inaonekana una vinasaba vya ushoga
 
Mwisho wao wote hao uliowataja ulikuwaje? Kuna hata mmoja alishinda na akaendelea kuwa mwanachama wa CHADEMA?
 
Mimi naona wenzetu Chadema wana demokrasia zaidi ya sisi CCM.
Wao wamesubiri hadi kesi iishe mahakamani.
Lakini CCM hata mahakamani asingifika,angeondolewa mapema kabisa kama ilivyokuwa kwa Malisa.
 
Pascal una uhakika CHADEMA hawajafuata taratibu?
 
Baada ya siku kadhaa, jamaa atakuja kuomba radhi na atapokelewa

Hawa ndo chadema bhana 😂
 
Pascal una uhakika CHADEMA hawajafuata taratibu?
Hoja zangu ni based on hii taarifa kwa umma!.

Has no substance at all, haionyeshi kosa, haionyeshi mchakato, ila kuna barua aliyoandikiwa mhusika labda itaonyesha hayo, kwasababu hii ni taarifa tuu.
Tusubiri mhusika ailete!.
P
 
Hoja zangu ni based on hii taarifa kwa umma!.
View attachment 3603220
Has no substance at all, haionyeshi kosa, haionyeshi mchakato, ila kuna barua aliyoandikiwa mhusika labda itaonyesha hayo, kwasababu hii ni taarifa tuu.
Tusubiri mhusika ailete!.
P
Unadhani chadema walipaswa kuweka hizo details kwenye hii barua kwa ajili ya public consumption? Ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…