Said Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho

Hii ni taarifa kwa umma sio minutes za kikao. Hayo ya kanuni sijui sababu zinakua kwenye minutes rasmi za kikao ambazo not necessary for public consumption.
 
Hivi wewe ni mwanamke au mwanaume? Kwa nini unajiita mama samia? Kama ni mwanaume halafu unajiita mama samia inaonekana una vinasaba vya ushoga
Nyie chama cha matusi tumewazoea
 
Hata kama hatafanya siasa, bado ataendelea kuwa busy.Anafuga ndevu fulani amazing. Zile matunzo yake lazima kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Kunyoa level, kukaa kwenye kioo, mpaka uje kufanya usafi tayari siku imeisha. Hapo hujapakaa ina, Sunna. šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚
 
Niliona sms zake anawasema wajumbe walikula pesa za mbowe lkn hawakumpa kura. Yule asipokelewe kabisa kbisa shenzi kbs
Naam baada ya kushindwa uchaguzi alilalamika hivyo yeye na akina jasusi la bamia.
 
Hicho ndiyo chama cha demokrasia wanajiita watu wa kudai haki. Alikosea nini km alienda mahakamani chombo cha kutoa haki? Amini nawaambieni hakuna madikteta km chadema, eti itokee Lissu na Heche wachukue madaraka halafu atokee kima wa kuwakosoa? HAO NI MADIKTETA HALISI, huyo bwana kushtaki ni haki yake ilibaki kazi ya mahakama kudhibitisha shtaka lake.
 
Kuondoka chadema ni neema mshukuru Mungu, kuwa mwanachama wa chadema unakuwa km zombie akili zote unazikabidhi kwa wavuta bangi km Heche,
 
Kuondoka chadema ni neema mshukuru Mungu, kuwa mwanachama wa chadema unakuwa km zombie akili zote unazikabidhi kwa wavuta bangi km Heche,

Yawzekana hana akili, aende CCM, Chama Cha Majinga (TWAWEZA: CCM inapendwa zaidi na watu wasio na akili na mafisadi).
 
Amekua kama Lembrus Mchome aliyepewa nyumba na kulipiwa rent na msajiliccm .
Lembrus Mchome aliwekwa kinyumba na msajili na jambo hili lilileta mtafaruku mkubwa kwenye ndoa ya Msajili baada ya habari hizi kuvuja.
 
Kuondoka chadema ni neema mshukuru Mungu, kuwa mwanachama wa chadema unakuwa km zombie akili zote unazikabidhi kwa wavuta bangi km Heche,
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha, sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa akili unabakisha kiduchu tu za kuvukia barabara na kushangilia watawala.
 
Hata barua ikiwa na mapungufu, hawezi kwwnda Mahakamani bali ngazi za juu.. Ukienda mahakamani ni umejifuta chama kwa katiba ya chadema. Na akienda ngazi za juu, watarekebisha barua ikae vizuri then wampe. Hana pa kutokea🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…