TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

bongo muvie kuna jini

imani yangu
 
TANZIA, TANZIA, TANZIA.
NI KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI TENA KUMETOKEA MSIBA MKUBWA WA KUGUSA HISIA ZETU..
MZEE SMALL AFARIKI DUNIA


Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar.
Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili.
Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small.


MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
KIFO NI NJIA YA KILA MWANADAMU NA NI MAWAIDHA TOSHA KWETU KUZIDISHA HOFU KWA MUUMBA WETU NA KUZIDI KUFANYA IBADA YA KUMWOBA MAGHUFIR MWENYEZI MUNGU.


Innalillah waina ina ilah rajiuun...bwana ametoa,bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe!!! Tumeumbwa kwa ufongo, tutarudi kwa udongo.
 
Huyu mzee alikuwa anapatia kwenye acting za michepuko..
 

Duh!
R.I.P Mzee Small.
 
Wahishimiwa wakiristo na waisilamu na wadini zote na wasiokuwa na dini innaillah waina illahrajiun BAKi ALLAH
 
Aisee hawa jamaa wataisha sasa
Sijuwi nani atafuata hapo dah pole familia ya komredi small
 
Jaman.... naomben mnijuze.. hiv hyu Mzee Small c ndo mume wa big chau?
 
picha jamani.
wengie hatumjui kwani tumewazoea comedian kina Nape na Kinana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…