Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Kweli tutafute pesa ndinga hazikai chini ya gazebo wala kufunikwa na turubai ndinga zinakaa kwenye nyumba yake zikipigwa unyunyu πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Hapo ni kutafuta PESA na kufanya ambacho moyo unatamani. Wivu wa kijinga eti useme amepataje hela, BIASHARA gani amefanya? Kwani BIASHARA ukiijua ndio na wewe ikutajirishe? Mwanadam ni Roho Roho huvuta Roho kama Roho yako haina uwezo wa kuvuta Roho zingine basiii hata ukianzisha BIASHARA hakuna Roho itakayokuja kwenye BIASHARA zako.Kwa kiwango cha wewe kutajirika utafeli tuuu.
 
Wewe una enjoy nini kwani kunizidi? Si nafuu niwe na hela yangu ndogo lakini sina masharti ya kuitumia!! Utakuta una hela halafu unalala stoo kwenye maboksi ya nyumba yako!! Huo ni ufala
Kwaio lugumi nae analala stoo..jamaa utakua una stresss sana na ufukara [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe una enjoy nini kwani kunizidi? Si nafuu niwe na hela yangu ndogo lakini sina masharti ya kuitumia!! Utakuta una hela halafu unalala stoo kwenye maboksi ya nyumba yako!! Huo ni ufala
Hayo ni maneno tuuu, PESA yoyote ile Ina masharti ya kutumia. Tena PESA inakupa masharti ya kula miguu ya kuku, mwingine inampa masharti ya kula kuku mzima, wengine PESA inakupa masharti ya kumiliki ist , wengine PESA zao zinawaruhusu kununua Volvo,aud,bmw,lamb, jet,nk. Achilia mbali hayo masharti ya manyoka. Ila kiwango cha PESA zako ni masharti tosha...tikitimaji tu la elfu kumi, PESA yako inakataa usinunue!(
 
Dada wahi pm namba ya uncle LS ninayo na natamba nayo 😹😹😹

Yani huyo pesa kwake sio tatizo na sio pesa tu, jamaa ni bonge la mtu na nusu (master mind) lina nondo za kupiga mkwanja mpk sio pouwa… dada namba umepataaaaa πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
 
Alisema kuna majipu yamekaa pabaya,huwezi yatumbua,ukute alikua upawa wa mkulu
 
Kweli tutafute pesa ndinga hazikai chini ya gazebo wala kufunikwa na turubai ndinga zinakaa kwenye nyumba yake zikipigwa unyunyu πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
IMEANDIKWA!;
πŸ‘‡πŸ‘‡
Luka 12:16-21
16 Akawaambia mithali, akisema, Shamba la mtu mmoja tajiri lilikuwa limezaa sana;

17 akaanza kuwaza moyoni mwake, akisema, Nifanyeje? Maana sina pa kuyaweka akiba mavuno yangu.

18 Akasema, Nitafanya hivi; nitazivunja ghala zangu, nijenge nyingine kubwa zaidi, na humo nitaweka nafaka yangu yote na vitu vyangu.

19 Kisha, nitajiambia, Ee nafsi yangu, una vitu vyema vingi ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi; pumzika basi, ule, unywe, ufurahi.

20 Lakini Mungu akamwambia, Mpumbavu wewe, usiku huu wa leo wanataka roho yako! Na vitu ulivyojiwekea tayari vitakuwa vya nani?

21 Ndivyo alivyo mtu ajiwekeaye nafsi yake akiba, asijitajirishe kwa Mungu.
 
Positive Mind,Yaani wabongo wote tungekuwa kama wewe na Mimi hapa tungekuwa mbali sana.Hila fitna wivu majungu ni dalili mbaya sana ya Jamii inayonuka umaskini....Hapo jamaa wanajaribu kuwapa hasira raia nao waamke Bado raia wabishi😁😁
 
Nadhani sisi tunaofatilia na kuanza kuchambua huenda ndo tunatatizo kwanini usiende kumuuliza why ameonyesha hayo magari yake.

Yaani kwako tabu iko wapi yeye kuonyesha magari yake!
 
Muonee huruma tu, waTz wengi hatujui tunataka nini yaani mtu kila kitu anakosoa tu kwa kufutamkumbo wa wengi wanasema nini.


Nimependa hiyo " Don't hate the players, hate the game" imepiga kwenye mshono nitaongeza hapo
"Common sense is not common" ndo maana tuna watu wa namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…