Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Umeongea kiume. Fanya kitu ambacho kinakupa furaha Sasa. Sote tutakufa, Sasa kwanini ujibane?
Acha aliyepata atumie atakavyo
Mzee n kama ameamua kutu motivate. Gari ziko kwenye Air condition afu kuna keyboard warrior yuko kwenye ka store ka kupanga,joto feni linapuliza vumbi tupu. kagodoro chini afu anaponda.
Amka kazisake mzee, pesa tamu wacha mchezo kabisa.
Hauchoki kua average?
Hautaki best cars?
Hautaki kukaa masaki ama njiro?
Hautaki kupanda ndege first class?
Ndoto zako ni nini?
Nini maana ya kuishi?
 
View attachment 3135806 Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc. Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi. Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Hata siku ya mwisho wa maisha yake afanye hivyohivyo
 
Wewe hela zako unapeleka English Medium kwanini usiwe masikini. Haya haraka sana toa watoto wako ENGLISH MEDIUM warudishe Kayumba.

Utakuja kunishukuru 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Oyaaa ! Tusake noti wazee
Hiyo pesa dollar 40000 Kwa mwezi kama malipo ya rent ,kuna waajiriwa wa serikali na private mpaka wanazeeka hata madai yao hayafiki hapo hata nusu ya hiyo pesa .
Acha kabisa
Inaweza isisfike 40k ila ikafika 10k hiyo ni nyingi mkuu kwa Tz hii sio ndogo
 
Naona hii haijakaa sawa sawa...
Tulitarajia yeye kama mtu aliye elimika awekeze kwenye kuzalisha, KUAJIRI na kulipa kodi badala yake anakimbizana na show off za wasanii...wanaotaka publicity
Magari hata akiwa nayo 100, mwisho wa siku atatumia hapo pengine matatu tu
Kile kiwanda cha General Tyre pale Arusha kinaniumiza kichwa, ni huu tu umasikini?
 
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
 
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Hizi ni motivation kwa sisi vijana wenye akili timamu na ndoto kubwa
 
Oyaaa ! Tusake noti wazee
Hiyo pesa dollar 40000 Kwa mwezi kama malipo ya rent ,kuna waajiriwa wa serikali na private mpaka wanazeeka hata madai yao ya mafao hayafiki hapo hata nusu ya hiyo pesa .
Acha kabisa
Ni tshs 108,000,000 kwa mwezi,ambayo kwa mwaka mmoja tu ni zaidi ya tshs 1.2 billion. Siyo haba
 
Back
Top Bottom