Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 948
- 1,911
Mistari yako miwili ya chini imesema kitu kikubwa sana. Tukae tu kimya mkuu manaa huwezi isifia mvua hivhiv😁😁Anatakiwa amshukuru sana kikwete na aliyekua IGP Saidi mwema baba mkwe wake. Lugumi ndio alikua supplier mkuu wa jeshi la Polisi wakati huo Kila unachokiona katika jeshi kaleta lugumi Tena wakati huo ndio nchi ipo uchi wanajichotea tu. Sasa Leo akitangaza hadharani anawaambia watanzania fanyeni kazi kwa bidii. Mimi ningekua lugumi ningekaa kimya ila pesa Ina ulimbukeni kama hautatuliza akili siwezi kumsema sana.