ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ww ni chawa lake au........Wivu na umaskini ndio unawasumbua, acheni upuuzi wacha afanye kinachompa raha..leo uko hai kesho umekufa atleast ume enjoy, umeendesha magari unayoyapenda, nyie mnaoshauri kwa nini msitafute zenu kama ni rahisi..
Unasubiri mpaka uumwe ndio ule vizuri?
Bahati mbaya unaumwa na masharti mengi kwenye vyakula na pesa unayo na huwezi kula unachotaka..
Pesa unayo usiendeshe gari unayotaka kesho umeumwa uruhusiwi ku drive tena..
Fanya kile kinachokupa raha, maisha ni mafupi..hawa waja hawana jema.
Bata Maldives, nunua magari ya gharama, perfumes za gharama, mavazi ya gharama,kaangalie mechi ama ndondi live majuu, lala pazuri, tunza afya..enjoy maisha mana ni mafupi..
Usimsahau Muumba wako pia.
Naona umeandika kipovu povu mwambie akununulie hata ist ukamringishie mkeo