Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Nanua number ya Lugumi kwa laki 5 5,Kalaga Baho Nongwa Lamomy nyie watoto wa mjini hebu ingieni chimbo fastaa niipate,nikiipata muone vile nawabadilishia route safari ya Zenj tunacancel nawapeleka Maldives kula mishkaki ya papa na cocktail ya madafu....shime vijana wangu tusipoteze muda
Namba ya lugumi ya nn bebi? Kwan mm sitoshi au Lamomy kashakudanganya
 
Kibubu kiki jaa nawajaza na hii
 
Attachments

  • luxury_cars_tz-20241027-0003.jpg
    luxury_cars_tz-20241027-0003.jpg
    476.4 KB · Views: 3
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Kama anamiliki G-Wagon na Bentley among his 'toys' ina maana senti zipo kwa sababu ukiachilia kuyanunua hata running costs kwa mganga njaa lazima mashine za hivyo aziuze.
Ila hundred percent ulimbukeni anao kwa sana tu, kitendo cha kuirekodi hiyo showoff scenario na kuirusha ni ulimbukeni.
 
Jamaa ni supplier wa vifaa vya polisi na jeshi muda mrefu .
Procurement contracts za silaha na vifaa vya kijeshi zina pesa ndefu , watu labda wana chuki naye tu binafsi .
Ndio maana wanakwambia ukitoa madawa ya kulevya na human trafficking ,Hamna biashara profitable kama arms deals
Wewe hata feni huna ila gari inakula kiyoyozi
 
Lugumi hakuwa maskini bali alitikiswa na Jiwe. Hivyo, baada ya jiwe kufariki amerudi hewani, na anatuma ujumbe kwamba, yeye ni mtoto wa mjini hamumuwezi!

Ila twendeni na ukweli, kwa sasa ni kama vile ufisadi umerudi kwa kasi
Wenye kuuweza wanasema usipotajirika sasa,umeutaka umaskini mwenyewe.Mwenye kuelewa maana ya kauli hizi atusaidie kuelewa tafadhali.
 
Jamaa ni supplier wa vifaa vya polisi na jeshi muda mrefu .
Procurement contracts za silaha na vifaa vya kijeshi zina pesa ndefu , watu labda wana chuki naye tu binafsi .
Ndio maana wanakwambia ukitoa madawa ya kulevya na human trafficking ,Hamna biashara profitable kama arms deals
Eeh sasa Arms sindio zinamtajirisha mmarekani haachi kupiganisha watu.
 
Kama anamiliki G-Wagon na Bentley among his 'toys' ina maana senti zipo kwa sababu ukiachilia kuyanunua hata running costs kwa mganga njaa lazima mashine za hivyo aziuze.
Ila hundred percent ulimbukeni anao kwa sana tu, kitendo cha kuirekodi hiyo showoff scenario na kuirusha ni ulimbukeni.
Ulimbukeni akifanya Mtanzania ila akifanya Rickross ni unyamwezi tu au sio?
 
Back
Top Bottom