Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Jinai haiozi. Lugumi ana scandal, alipata tenda ya kusupply fingerprint machine vituo vote vya polisi. Machine 18 tu ndo wakainstall na 8 hazifanyi kazi. CAG, Bunge na Takukuru wakachunguza, ila ishu ikaishia hewani. Bilioni 37 ndo ikawa imepigwa kirahisi tu hivyo.
Kumbe yupo kama Yahya Sinwar, ni mfungwa anayetembea. Ila inasikitisha sana. Huwa najiuliza inakuwaje mtu unakosa uzalendo kiasi hicho??? Unaiibia nchi yako????
 
Halafu ukitoka hapo unaenda kuanzisha mada Magufuli alikuwa liuaji, halipendi matajiri and your other nonsense.

Si ndio mambo mnayoyataka haya ya mama anajenga nchi, mtu anautajiri hana kiwanda wala shamba la heka kumi. Utajiri wote ni kufanya biashara na serikali tenders.

Sasa unalalamika nini akionyesha mali zake.

Don’t hate the players, hate the game.

Si unataka nchi ifinguliwe wewe, yaani 90% ya watu wanaomtukana Magufuli ni mapoyoyo ambayo hayaelewi hata alikuwa anapinga.

Huyo Lugumi ni msukuma mshamba tu, mawaziri wa Samia wakisema na wao flaunt ni balaa.
Extrovert unacheka cheka tu vipi umelewa nn mkuu!
 
Vipi na ww unafyoonza ma million sio? 😁
Natafuta mrija ila sijaupata bado, lazma niwachape na Lexus GX550 Platinum kama hii.
images (2).jpeg
 
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Unaweza pia kuringishia ya kwako mkuu no offence.
 
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Of coz kwa regime hii jamaa ni untouchable achilia mbali ile regime ambayo alitamani kuhama nchi kwa visanga na kesi miamia.

Hivi unajua jamaa ni supplier uniform za polisi, na vitu vingine important katika taasisi nyeti nchini, muache atambe regime ni yake na kina Abdul!!
 
Back
Top Bottom