Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Sisi ngozi nyeusi shids sana ukipata senti kidogo utataka mpaka sisimizi waju! Wenzetu wahindi wao wakipata wanawekeza kwenye vitu vya maana sisi unakimbilia vitu vya anasa ambavyo havizalishi ! maskini Lugumii !
Sasa mwenzio unayempa ushauri kashinda kesi na akalipwa more than 100 Billions juzi juzi tu hapo. Hizo gari hapo hazifiki hata 5% ya hela aliolipwa na still alikuwa ni billionaire hata kabla ya hizo songombingo. Acha ushauri kwa watu waliokuzidi maisha 🤣
 
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Watanzania ndivyo tulivyo🚮
 
Interesting part is, what business does he do? Selling arms? To whom? Tanzania government or other legitimate governments? or rebels for that matter?

Kuna lapse of information somewhere. There is kind of arrogance which he displays, which brings alot of questions than answers.
Jamaa yuko clean na ndio maana haogopi ku floss🤣! Fedha halali hio amna uchawi wala freemasonry.
 
Anatakiwa amshukuru sana kikwete na aliyekua IGP Saidi mwema baba mkwe wake. Lugumi ndio alikua supplier mkuu wa jeshi la Polisi wakati huo Kila unachokiona katika jeshi kaleta lugumi Tena wakati huo ndio nchi ipo uchi wanajichotea tu. Sasa Leo akitangaza hadharani anawaambia watanzania fanyeni kazi kwa bidii. Mimi ningekua lugumi ningekaa kimya ila pesa Ina ulimbukeni kama hautatuliza akili siwezi kumsema sana.
 
Lugumi hakuwa maskini bali alitikiswa na Jiwe. Hivyo, baada ya jiwe kufariki amerudi hewani, na anatuma ujumbe kwamba, yeye ni mtoto wa mjini hamumuwezi!

Ila twendeni na ukweli, kwa sasa ni kama vile ufisadi umerudi kwa kasi
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Kama ulibahatika kuishi maisha kati ya 2006-2014 basi aina ile ya maisha ndio iliyopo sasa. Top layer wanafyonza mirija kiroho mbaya, ukiweza kuwa chawa njia ya kutoka ni nyepesi.
 
Anatakiwa amshukuru sana kikwete na aliyekua IGP Saidi mwema baba mkwe wake. Lugumi ndio alikua supplier mkuu wa jeshi la Polisi wakati huo Kila unachokiona katika jeshi kaleta lugumi Tena wakati huo ndio nchi ipo uchi wanajichotea tu. Sasa Leo akitangaza hadharani anawaambia watanzania fanyeni kazi kwa bidii. Mimi ningekua lugumi ningekaa kimya ila pesa Ina ulimbukeni kama hautatuliza akili siwezi kumsema sana.
Jomba haujapata hio fursa tu, Sugu ni mtu mzima ila maisha aliyotokea hakuwahi fikiri siku ataweza kumiliki hata billion 1 kwenye account yake na biashara ya maana kama hotel na usafirishaji. Amewehuka kabisa na kuona kila mtu masikini.

Usifanye mchezo na pesa wewe unaweza ukafanya mambo ya hovyo kuliko hata huyo Lugumi unayemkandia.
 
Sijamkandia brother.nimejaribu tu kueleza vyanzo vya pesa yake maana yake nafahamu. Lugumi pesa kapatia Serikalini na ndio maana marehemu magufuli alikua na hasira nae sana akakimbia nchi kama unakumbuka mpaka nyumba zake zikataka kuuzwa na serikali lile sakata la Dr. Shika Mzee wa mia 9 itapendeza
 
Back
Top Bottom