Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Anatumiwa kutakatisha pesa haramu za kodi za a Watanzania kwa kupewa tenda feki Serikalini. Lugumi ana mtandao mrefu sana Serikalini. Alidhibitiwa vilivyo enzi za Magu, lakini naona baada ya kifo cha Magu its business as usual. . Hk0o intsa ana smile kila posting na kuja na ridiculous inspirational statements huku akiweka picha akiwa kwenye exclusive, ultra luxurious environments
Life is to short
 
Magufuli alikuwa mbaguzi katika ku deal na aliowaita mafisadi wala usilete topic yake hapa. Huyu Lugumi kwa vile ni msukuma mwenzie kama alivyotaka tumtambue mwenyewe hakuwahi kumtupa gerezani kama akina Mwaimu au Kitilya au Rugemalira. Alikuwa anamsema tu. Double standards tupu
Mimba uliyodungwa na Magufuli itakutesa sana
 
Back
Top Bottom