Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Tafuta hela masikini wewefake ID
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta hela masikini wewefake ID
Siyo kweli hakuna watu wanapenda show off kama wahindi.Sisi ngozi nyeusi shids sana ukipata senti kidogo utataka mpaka sisimizi waju! Wenzetu wahindi wao wakipata wanawekeza kwenye vitu vya maana sisi unakimbilia vitu vya anasa ambavyo havizalishi ! maskini Lugumii !
Alipewa fedha ya ku supply hizo electronic devices za TANPOL lakini kuna hela ilibidi awarudishie wenyewe waliompa zabuni ili waingize kampeni.Hivi mtu/kampuni akipata tenda,hua ana lipwa kiasi chote Cha fedha kabla haja tekeleza yaliyo katika mkataba?
Acha kushabikia wezi kwa kauli ya kutafuta pesa wakati shobo zote hizo ni hela za kodi yako wewe. Na watu wanakosa dawa hospitalini na watoto wanakaa chini kumbe kuna mafedhuli wametumia mali ya umma kujitajirishaTAfuta pesa mkuu ili watu wakiwa wanafurahia pesa zao kwa matoys kama hayo usione kama ni ulimbukeni au wanakuringishia, uone tu ni kama ambavyo wewe unavyopost tu ukiwa na ka samsung kako mezani ukisoma gazeti.
Lakini kila utapoiweka inabadili maana.Nimecheka sana! Kwa sababu kwenye hiyo methali koma inakubali kila mahali!
Jamaa alikuwa Mwanza miaka ya zamani alikuwa fundi viatu pale town.Halafu ukitoka hapo unaenda kuanzisha mada Magufuli alikuwa liuaji, halipendi matajiri and your other nonsense.
Si ndio mambo mnayoyataka haya ya mama anajenga nchi, mtu anautajiri hana kiwanda wala shamba la heka kumi. Utajiri wote ni kufanya biashara na serikali tenders.
Sasa unalalamika nini akionyesha mali zake.
Don’t hate the players, hate the game.
Si unataka nchi ifinguliwe wewe, yaani 90% ya watu wanaomtukana Magufuli ni mapoyoyo ambayo hayaelewi hata alikuwa anapinga.
Huyo Lugumi ni msukuma mshamba tu, mawaziri wa Samia wakisema na wao flaunt ni balaa.
Shida mkiitwa mkadai mali za umma hakuna anayejitokeza. Talk huwa haipiki riceAcha kushabikia wezi kwa kauli ya kutafuta pesa wakati shobo zote hizo ni hela za kodi yako wewe. Na watu wanakosa dawa hospitalini na watoto wanakaa chini kumbe kuna mafedhuli wametumia mali ya umma kujitajirisha
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa.....TAfuta pesa mkuu ili watu wakiwa wanafurahia pesa zao kwa matoys kama hayo usione kama ni ulimbukeni au wanakuringishia, uone tu ni kama ambavyo wewe unavyopost tu ukiwa na ka samsung kako mezani ukisoma gazeti.
Utajiri wa magumashi kivip tenaNimemu unfollow Lugumi leo insta. Nimegundua anaishi maisha ya utajiri wa magumashi. Hatupo pamoja kimaadili.
Anatumiwa kutakatisha pesa haramu za kodi za a Watanzania kwa kupewa tenda feki Serikalini. Lugumi ana mtandao mrefu sana Serikalini. Alidhibitiwa vilivyo enzi za Magu, lakini naona baada ya kifo cha Magu its business as usual. . Huko Insta ana smile tu kila posting na kuandika ridiculous inspirational statements huku akiweka picha akiwa kwenye exclusive, ultra luxurious environments. Lakini ukweli ni kwamba anatumiwa tu kama front na vigogo wa hii nchi.Utajiri wa magumashi kivip tena
Shida iko wapi sasa take money for fun mfumo wenyewe wa pesa umekaa kihuni huni tuu 🍻Anatumiwa kutakatisha pesa haramu za kodi za a Watanzania kwa kupewa tenda feki Serikalini. Lugumi ana mtandao mrefu sana Serikalini. Alidhibitiwa vilivyo enzi za Magu, lakini naona baada ya kifo cha Magu its business as usual. . Hk0o intsa ana smile kila posting na kuja na ridiculous inspirational statements huku akiweka picha akiwa kwenye exclusive, ultra luxurious environments