Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, Huyo Lugumi kwanza unamfahamu kuwa ni Nani hasa?Jinai haiozi. Lugumi ana scandal, alipata tenda ya kusupply fingerprint machine vituo vote vya polisi. Machine 18 tu ndo wakainstall na 8 hazifanyi kazi. CAG, Bunge na Takukuru wakachunguza, ila ishu ikaishia hewani. Bilioni 37 ndo ikawa imepigwa kirahisi tu hivyo.
Kinondoni kuna mtu yuko kwenye mfumo mpaka sasa ashawavua watu 8 nyumba watu kwenye mfumo sahv iko na pesa sanawatu wanavunja magorofa pale kariakoo tangu jamaa afe.
Mteule kaingia Iran na kutoka bila scratch maamaee
Mteule labda kwenu...Mteule kaingia Iran na kutoka bila scratch maamaee
Tajiri anakufa na utajiri wake, ni vile tu mtu kaamua mkuu mtu anaamua atafute na atumie yeye tu.Sisi ngozi nyeusi shids sana ukipata senti kidogo utataka mpaka sisimizi waju! Wenzetu wahindi wao wakipata wanawekeza kwenye vitu vya maana sisi unakimbilia vitu vya anasa ambavyo havizalishi ! maskini Lugumii !
GT inasikitisha. Na wengi wanaona ndo maendeleo wakati its their own hard earned money being misused by few selfish individualsHalafu ukitoka hapo unaenda kuanzisha mada Magufuli alikuwa liuaji, halipendi matajiri and your other nonsense.
Si ndio mambo mnayoyataka haya ya mama anajenga nchi, mtu anautajiri hana kiwanda wala shamba la heka kumi. Utajiri wote ni kufanya biashara na serikali tenders.
Sasa unalalamika nini akionyesha mali zake.
Don’t hate the players, hate the game.
Si unataka nchi ifinguliwe wewe, yaani 90% ya watu wanaomtukana Magufuli ni mapoyoyo ambayo hayaelewi hata alikuwa anapinga.
Huyo Lugumi ni msukuma mshamba tu, mawaziri wa Samia wakisema na wao flaunt ni balaa.
Hakika mkuuUkiona mtu anaenjoy kwa kujivunia nguo 2,000 asizoweza kuzivaa, magari 200 asiyoyahitaji, nyumba 20 zisizokuwa wakazi et al, ujue kuna tatizo kubwa la kiafya ndani ya nafsi na akili yake.
Anahitaji tiba