Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Ni ushamba tu. Kuna billionaires wana mpunga wa kutisha lakini hawana shobo za kibwege kama huyo msukuma wa MaguKwa magari hayo na attitudes anayoonyesha sioni ubaya wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ushamba tu. Kuna billionaires wana mpunga wa kutisha lakini hawana shobo za kibwege kama huyo msukuma wa MaguKwa magari hayo na attitudes anayoonyesha sioni ubaya wake
Bado hakuna excuse YA ULIMBUKENI. Huyu pimbi bado hana hela na hajui ku-invest. Jamaa hajafika sekondari na alikuwa shoe shiner. Lazima avimbe sanaTAfuta pesa mkuu ili watu wakiwa wanafurahia pesa zao kwa matoys kama hayo usione kama ni ulimbukeni au wanakuringishia, uone tu ni kama ambavyo wewe unavyopost tu ukiwa na ka samsung kako mezani ukisoma gazeti.
Sasa hilo la kutoka kuwa shoe shiner hadi akawa alipo hapo mpe credit zake maana watu na PhD zao bado hoi bin taabaniBado hakuna excuse YA ULIMBUKENI. Huyu pimbi bado hana hela na hajui ku-invest. Jamaa hajafika sekondari na alikuwa shoe shiner. Lazima avimbe sana
Taja mwenye wimboKama hutushambulia tunapotafuta pesa,
Ama shuleni haujaendaa, maisha mazuri usitamani,
Martin Kasanju tajiri, jua ile bahati yake,
Wakoloni wameenda amebaki tu moja,pesa,
Sisi wote nyuma yake tajiri maskini,
Pesa tu wewe kama ni wengi wanazo hujui wazipata vipi, acha tamaa,
Nionyeshene mutu yule tajiri na hajafanya kazi yooh,
Ninavyojua Mimi papaa vitaa omaya, utajiri tena ni kuwa na secret,
Kama kuna masikini, kupata ama kukosa apangaye ni mola,
Mnyonge akilia chozi ni kama la damu,
Shida haina huruma jama, jali hata masikini huoni,Tamobadiliwa pededje ndama, tamobadiliwa tu makambo yeeyee,
Ida acha tamaa, tuimbe , erick acha tamaa, tuchezee, similiee alfabee na beleli mosika, misona yo mamaa, iyeyeyee, uoohh, yeyee, uooh, yeyeeh/
Magufuli alikuwa mbaguzi katika ku deal na aliowaita mafisadi wala usilete topic yake hapa. Huyu Lugumi kwa vile ni msukuma mwenzie kama alivyotaka tumtambue mwenyewe hakuwahi kumtupa gerezani kama akina Mwaimu au Kitilya au Rugemalira. Alikuwa anamsema tu. Double standards tupuHalafu ukitoka hapo unaenda kuanzisha mada Magufuli alikuwa liuaji, halipendi matajiri and your other nonsense.
Si ndio mambo mnayoyataka haya ya mama anajenga nchi, mtu anautajiri hana kiwanda wala shamba la heka kumi. Utajiri wote ni kufanya biashara na serikali tenders.
Sasa unalalamika nini akionyesha mali zake.
Don’t hate the players, hate the game.
Si unataka nchi ifinguliwe wewe, yaani 90% ya watu wanaomtukana Magufuli ni mapoyoyo ambayo hayaelewi hata alikuwa anapinga.
Huyo Lugumi ni msukuma mshamba tu, mawaziri wa Samia wakisema na wao flaunt ni balaa.
Tafuta hela mkuu upunguze wivu. Acha kupangilia watu namna ya kuishi kila mtu ataishi muda aliopangiwa.View attachment 3135806
Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.
Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.
Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Hahaha yani mtu analipwa milioni 10 unataka atoe haki ya kesi ya BILLION 37?Jinai haiozi. Lugumi ana scandal, alipata tenda ya kusupply fingerprint machine vituo vote vya polisi. Machine 18 tu ndo wakainstall na 8 hazifanyi kazi. CAG, Bunge na Takukuru wakachunguza, ila ishu ikaishia hewani. Bilioni 37 ndo ikawa imepigwa kirahisi tu hivyo.
Ukiyapata utajua raha ya kuringishia.View attachment 3135806
Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.
Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.
Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Tafuta Hela fukara wewe njaa inakusumbuaBado hakuna excuse YA ULIMBUKENI. Huyu pimbi bado hana hela na hajui ku-invest. Jamaa hajafika sekondari na alikuwa shoe shiner. Lazima avimbe sana
Tafuta hela masikini weweMagufuli alikuwa mbaguzi katika ku deal na aliowaita mafisadi wala usilete topic yake hapa. Huyu Lugumi kwa vile ni msukuma mwenzie kama alivyotaka tumtambue mwenyewe hakuwahi kumtupa gerezani kama akina Mwaimu au Kitilya au Rugemalira. Alikuwa anamsema tu. Double standards tupu
Huyu alikubali kula na wenzake, hao wengine walikomaza shingo. Alimwaga pesa kuanzia kamati ya bunge, wabunge, mawaziri hadi Ikulu, bila kumsahau Dr.Shika.Magufuli alikuwa mbaguzi katika ku deal na aliowaita mafisadi wala usilete topic yake hapa. Huyu Lugumi kwa vile ni msukuma mwenzie kama alivyotaka tumtambue mwenyewe hakuwahi kumtupa gerezani kama akina Mwaimu au Kitilya au Rugemalira. Alikuwa anamsema tu. Double standards tupu
Yah sisi ni matajiriMatajiri