Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Sioni tatizo, pesa ni zake, muache atambe anavyojisikia.
Dunia ya watu wajinga tu ndio wanaambiana pesa zako tumia. Wengine wote hawajali unatumiaje hela zako, as long as wanajua unazipataje na unafuata sheria na taratibu.