Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Sisi ngozi nyeusi shids sana ukipata senti kidogo utataka mpaka sisimizi waju! Wenzetu wahindi wao wakipata wanawekeza kwenye vitu vya maana sisi unakimbilia vitu vya anasa ambavyo havizalishi ! maskini Lugumii !
Hata angekuwa ndugu yako huna mamlaka ya kumpangia aitumieje Pesa aliyoitafuta mwenyewe.
Kingine, hapa Duniani hatukuletwa tuigane.
 
Sijaona tatizo la mwamba, halafu video imechukuliwa na mtu wa ChiefGodlove na Chief ndiye aliyetaka tuone hivyo vyote.

Binafsi nafurahia sana kuona watu wanaishi kama hivyo kwa sababu umasikini ni mbaya na masikini tunarudishana sana nyuma
 
Of coz kwa regime hii jamaa ni untouchable achilia mbali ile regime ambayo alitamani kuhama nchi kwa visanga na kesi miamia.

Hivi unajua jamaa ni supplier uniform za polisi, na vitu vingine important katika taasisi nyeti nchini, muache atambe regime ni yake na kina Abdul!!
Yaani wangejua ana supply nini na wapi na wapi acha alimbuke....tuuu
 
Wabongo bana! Tunaumia mtu kuonyesha mali zake? Kama ndio inampa furaha why not? Mwacheni mtu aishi maisha yake jamani, anayeficha zake afiche anayeonyesha aonyeshe, hatujui watu wangapi wamekuwa motivated kuona hayo magari, na wengi hapa wameumia
 
View attachment 3135806

Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc.

Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya ugavi wa vifaa vya kieletroniki kwa Jeshi la Polisi.

Ameibuka upya kwa namna hiyo. Najiuliza huu ni ULIMBUKENI au ni utajiri ??
Sasa Chief Godlove aache sasa kutuonyesha GUTA zake ,avute hizo NDINGA kama yeye ana pesa.

LGM amepoa baada ya kunyooshwa na JIWE,alikuwa na vurugu nyingi sana.
 
Back
Top Bottom