Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

Niligoga sana hizi tenda za serikali kipindi fulani yani kuzipata utazipata ila pesa yake inaliwa na wengi mkuu🤣
Lazima ule na watu ili uendelee kuwepo kwenye gemu mana wahindi wao kutia hela hawaoni tabu. Wao wanaenda kuwaminya wafanyakaz wao.. ndo mana wahindi wanazipata sana hizi sababu wanatembeza takrima vya kutosha
 
Hivi itakuwaje kila Mtanzania. akiamua kuwa motivated na kutafuta pesa kwa njia haramu? Mana kwa sasa wale ambao tumemtanguliza Mungu hatutaki kuiba mali za Watanzania tunaonekana wajinga, halafu watumishi wa umma au wafanyabiashara wakifanya hujuma na kupata pesa zaidi ya shughuli zao halali ndio wanaonekana wajanja!
 
Tabia ya waafrika wengi. Kina Myweather nk ndo zao huko USA. Waafrika kuunda hata kijiko tu shida. Vipi MJapani alieunda hizo gari aringeje. Waafrika kufanya car collection au assets collection tu yaani anajiona amefanikiwa huku kapiga hela za walala hoi.
Waafrika tukifikia hatua ya kuunda vitu sijui itakuwaje majigambo
Imagine mwafrika amiliki simu alioiunda yeye mwenyewe mpaka sisimizi zitajua.
Low IQ ni shida sana huwa ni watu wa EGO.
Dah cheka mbaya sana
 
Siyo kweli hakuna watu wanapenda show off kama wahindi.
Angalia harusi ya mtoto wa mukesh ambani ili ndo tabia ya wahindi. Angali jengo lake analoishi ni heaven on slum
Lakini ni wachache sana wanafanya hivyo. Ila nigger akikamata hata laki tano mshahara kwa mwezi yani ni fujo kitaa.
Daah wahuni wanaringishia kwa kodi zetu unakuta hawana hata kitu cha kuuza zaidi ya kulamba Tenda za Serikali kwa ujambazi..mzigo uliopo parking si wa kitoto aisee
Mkuu kweli huo mzigo parking ni hatarii. Range ya mwaka huu. Nimepiga hesabu haraka haraka thamani ya huo mzigo ni billion tano au zaidi.
 
Back
Top Bottom