Tetesi: Saidi Yakubu Anahusika kwenye kuficha Pesa za Makamba Dubai na Mauritius

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Mheshimiwa Rais najua kuna watu wanne wamekushauri kuhusu kuchunguza watu kadhaa, Naomba ukumbuke nilidokeza kwenye platform Fulani kwamba hela Ziko Dubai Mauritius na Seychelles !

Huyu balozi wa Tanzania nchini comoro achunguzwe Mara moja
Ndo mshika account fichwa zilizobaki za Makamba na genge lake



Britanicca
 
Mmeamua kumsagia kunguni januari ,wasambaa wapo kwenye kikao na waganga zao

USSR
 
Kama huyo unayemwambia hakujua hadi mtu anaficha hela huko unakotaja..unadhani ni umbumbumbu au kutojali au na yeye anafanya hivyo..jiulize kwanza!
 
Samaki nguru akichomwa, harufu yake mpaka mtaa sa saba. Naona watu wanachoma nguru tu.

#UbayaUbwela
Mkuu @britannica, baada ya Maza kumtumbua JM, itoshe, kama kuna ma deals alipiga, then hizo ni fedha zake halali, kwasababu viongozi wengi tuu wanapiga deals, kitendo cha kutaka kumuingilia fedha zake ili a suffer, kutamsababishia Maza a bad karma.
Tusimshauri ushauri ambao mwisho wa siku utamgharimu.

Leave JM alone
P
 
Mkuu Pasco
Hata kinachoendelea kwa JanuNape ni karma ya mzee wa Chato so acha karma imeze karma

USSR
 

Ndio inapaswa tuanzie hapa sasa, ikiwezekana account zote wazipige pin na yeye aburuzwe mahakamani kuzitolea maelezo na kama hazina maelezo zirudi hapa zijenge vituo vya Afya na Shule.

Kama Kuna wengine ifanyike hivyo pia, ili wangine wajifunze nini maana ya utumishi wa umma.
 
Wewe mzee kama KARMA ingekuwa inafanya kazi ingewaadhibu wanaCCM wote wanaokupiga chini kila ukijitokeza kugombea chochote. Hizo habari zako za karma ni za kupuuzwa.
 
Ni kweli kwani huko CCM wote ni wapigaji tu wanazidiana viwango tu, hata Maza naye ana vimeo vyake kibao ndiyo maana ya ile kauli mbiu ya kula kwa urefu wa kamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…