DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 921
- 1,720
Mkuu uko sahihi, mimi nashangaa wale wanaojihangaisha kumpa taarifa huyo wanaempa, kana kwamba hata ana utashi na dhamira ya kufanya hicho anachoombwa kufanya, baadhi ya watanzania tena wenye akili timamu kama mleta mada sijui wamepigwa upofu! kusoma yawezekana hawajui, je hata picha hawaioni?Kama huyo unayemwambia hakujua hadi mtu anaficha hela huko unakotaja..unadhani ni umbumbumbu au kutojali au na yeye anafanya hivyo..jiulize kwanza!