Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Uhalali wa hizo dili ndio unatakiwa.Mkuu @britannica, baada ya Maza kumtumbua JM, itoshe, kama kuna ma deals alipiga, then hizo ni fedha zake halali, kwasababu viongozi wengi tuu wanapiga deals, kitendo cha kutaka kumuingilia fedha zake ili a suffer, kutamsababishia Maza a bad karma.
Tusimshauri ushauri ambao mwisho wa siku utamgharimu.
Leave JM alone
P