Tetesi: Saidi Yakubu Anahusika kwenye kuficha Pesa za Makamba Dubai na Mauritius

Uhalali wa hizo dili ndio unatakiwa.
 
Kaweka pesa zake za Halali nje, au pesa za haramu?

Maana kufungua account nje, peke yake, haliwezi kuwa kosa. Viongozi wengi tu Wana viakaunti nje huko kwa sababu mbali mbali.
 
Kwa hiyo wakati anapiga deals hamkujua..mambo mengine ni km majadiliano ya wapumbavu kutaka kupumbaza wengine.
 
Binafsi siwezi shabikia hizi pozy ..maana izo pesa wakichukua hazina msaada wowote kwa mwananchi,
zaidi ni wata jiamishia wao kwenye account zao while waki tumia kodi zetu kuzipata na vyombo vyetu so ni yale yale tu .
 
An advocate trying to legalize crime. Poor Tanzania.
 
Mkuu ni wewe huyuu au kuna mtu anatumia account yako yani kiongozi aibe hela za watanzania masikini unasema aachiwe, kisa wengine wanapiga deals??? Pascal mayala mwanasheria.
 
Tatizo lako ni umri
 
TISS fuatilieni! Britanicca hajawahi kukosea
 
bro ujue tunakuheshimu ...!
 
Tunaambiwa Hazina imekauka kumbe Kuna majizi yameficha hela nje
 
Wote wapumbavu tu, mleta mada na anaowasikizisha ujinga wake..huyo anayemwambia anajua kabisa alishawahi kulalama pesa za pre-bargain za kina biswalo kufichwa ughaibuni na hakuna hatua zozote zmechukuliwa kuzirudisha au kushughulikia wahusika..anajua, km si ujinga ni nini kuleta jambo hili la makamba hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…