Tetesi: Saidi Yakubu Anahusika kwenye kuficha Pesa za Makamba Dubai na Mauritius

Na Maharage Chande. Ripoti ya CAG ilibainisha ubadhirifu Mkubwa alipokuwa TANESCO Mamlaka zifanye kazi yake.
 
Unahalalisha Rushwa bhebhe Ngoosha...
 
Kwa hiyo wakati anapiga deals hamkujua..mambo mengine ni km majadiliano ya wapumbavu kutaka kupumbaza wengine.
sio kila anayeiba anaonekana. wahalifu huwa wana tabia ya kujificha watendapo uhalifu wao.


JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Ccm mmeamua kutafunana Sasa.

Ila kuna wa kumnyooshea mwenzake kidole huko chamani?
 
Kwel unazeeka vibaya mzee wetu. Kila siku unazid kupuyanga.
Kama mwanasheria na mdau wa mahakama za Tanzania, hii lugha haikuoaswa kusikika kwako. Unapoteza sana sifa yako brother.
 
sio kila anayeiba ansonekana. wahalifu huwa wana tabia ya kujificha watendapo uhalifu wao.


JESUS IS LORD&SAVIOR
Wewe unampa kazi mtu halafu hutaki kufuatilia matendo yake, umechagua malaika? Utakuwa mjinga km unadhani ni sawa kumfatilia baada ya kuiba na kuacha kazi..
 
Acha mawazo ya kijima. Kurudisha fedha za umma kunaleta karma kwa namna gani. Au hujui matumizi ya hilo neno. Bora usipewe hata uongozi wa kwaya utakuwa mwizi
 
Yani Anko Mayalla kila siku zinavyozidi kwenda unatoa maboko we mbabu kwlei yani,
Ina maana kama wengine waliiba ndio ihalalishe na wao waachie? Ni vipi kama wameanza na hao wengine wafuatie
 
Kwa nini JM aachwe tu bila kuchunguzwa?
Kama mali amepata isivyo halali na sheria ni msumeno, kwa nini unatupa taulo nyeupe ulingoni?
Una hisa kwenye mapato yake au wewe ni mnufaika? 🤔
 
naona karma kwako iko tofauti sana, kipindi cha nyuma ulikuwa miongoni mwa watu wenye thamani kubwa sana hapa jukwaani ila sasa ile kauli kila mtu ana bei yake kwako naona inafit kabisa.
 
Dogo acha mbwembwe! unajua makamba ndo alitusanua juu ya mkataba wa hovyo wa dp word na mikataba mingine 30 ya kuuza nchi uarabuni??
 
Ama hakika wakati si wa milele, kweli Pasco ndio wakiandika hivi aisee!
 
Dogo acha mbwembwe! unajua makamba ndo alitusanua juu ya mkataba wa hovyo wa dp word na mikataba mingine 30 ya kuuza nchi uarabuni??

Kwahiyo kutuibia na kuficha hela ndio malipo yake?, kama hiyo shida ipo basi Sheria ichukue mkondo wake kwasasa.
 
Kabla Magu hajalala milele mambo yalianza hivi hivi, watu fulani fulani kuvijisha taarifa zikiwa bado hazijatoka au zikiwa zimeshatoka na nyingine zikiwa zinafanyiwa kazi. Kuna mtu anakuvujishia taarifa za ikulu, na ndiyo mwisho huwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…