Tetesi: Saidi Yakubu Anahusika kwenye kuficha Pesa za Makamba Dubai na Mauritius

Kama huyo unayemwambia hakujua hadi mtu anaficha hela huko unakotaja..unadhani ni umbumbumbu au kutojali au na yeye anafanya hivyo..jiulize kwanza!
Mkuu uko sahihi, mimi nashangaa wale wanaojihangaisha kumpa taarifa huyo wanaempa, kana kwamba hata ana utashi na dhamira ya kufanya hicho anachoombwa kufanya, baadhi ya watanzania tena wenye akili timamu kama mleta mada sijui wamepigwa upofu! kusoma yawezekana hawajui, je hata picha hawaioni?
 
Mkuu JM ameshuhudia Dili nyingi za mama Abdul huko ughaibini
Huenda amempumzisha ili alinde vizuri Dili zake alizopiga
 
Hizo ni fedha za Umma; Siyo za hao Wahuni!!

Warudishe pesa zetu
 
Nyie ndio kizazi kinachotakiwa kupita ili vile vizazi vyenye kuelewa nini tunataka kama taifa. Mtu kakwapua fedha za serikali unasema "fedha zake halali"? Kizazi chenye mentality kama yako kinatakiwa kiishe kabisa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…