Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Kindly revisit your posts with open mindness...you sounding coercing the JF to follow ur suit......

Ushi

 

Wewe umewahi kutembea au kutotembea na mke wa mtu? baadaye utasema nini, kuwa kubenea ana majini?!!!

GT, unajiaibisha mkuu kwenye udaku kama huu!
 
mwanahalisi ni gazeti, na gazeti kazi yake ni kutuhabarisha.
na gazeti linapotuhabarisha uzuri linapata soko zuri.
sasa mwanahalisi labda ukilinganisha na magazeti mengine limetuhabarisha uzuri, lakini NI KAZI YAKE.
kwa nini tulimpe mchango gazeti lililofanya kazi yake?
na pengine limeshitakiwa kwa sababu halijafanya kazi yake vizuri?
 
GT,

Hebu soma posts zako uone kama hii inamdefine nani zaidi kati yangu na wewe!

You assume that because I accused MWANAHALISI of pushing its own editorial line as the expense of accuracy.You seem to equate criticism with pushing one's own personal preferences, and the attempt to force one's own orthodoxy on the object of criticism.
 
Hivi MwanaHalisi/Said Kubenea waliomba msaada au tunataka tu kuwasaidia bila hata kuwauliza? Kwa nini wasingeulizwa badala ya kukurupuka tu? Why JF kusaidia ones personal business?

Wao hawakuomba msaada ila wana JF wanaolipenda hili gazeti wameamua kuchangisha pesa hapa for them. Wewe huna sababu kabisa ya kuchangia mwanahalisi kama hupendi.
 

I didnt make any assumptions ab't ya!
It is about who you are and what you do here!
 
sio habari ya kulipenda au kutolipenda.
watu wanapenda kufanya kitu for a cause......
na nafikiri watu wengi wangependa kufahamishwa as to why wachange.
na sio mtu akiuliza kwa nini achange anaambiwa kaa hulipendi usichange
 
Wewe umewahi kutembea au kutotembea na mke wa mtu? baadaye utasema nini, kuwa kubenea ana majini?!!!

GT, unajiaibisha mkuu kwenye udaku kama huu!

That still doesn't stop the initial argument. MWANAHALISI has been preaching about morals to politicians left and right while its editor (KUBENEA) is alleged to be adulterer that it is so much easier to consume junk but the knock on effects to mind and body are so unhealthy and makes for an unhealthy society. Perhaps MWANAHALISI should come with a public health warning, "Reading this paper could severely impair your rational judgement".
 

Mimi nilikuwa naongea na wewe na si Mwafrika wa Kike kwenye issue ya COMORO.Kama si mahala pake kwa nini uliropoka kuwa pesa zilitolewa na Libya au ndio attention seeking?

Aliyeanzisha mambo ya comoro ni wewe mkuu!



The same way you make judgements about mwanahalisi


So now you call yourself a critical thinker?



NOw this tells alot about your "critical thinking"
 
Nimefika Katika Office Za Mwanahalisi Hapa Mwananyamala Wanasema Kwamba Hawakuwahi Kuomba Msaada Wala Mchango Toka Kwa Mtu Kikundi Au Dini Yoyote Ile Na Wanashangaa Sana Wanasema Watakja Jf Wenyewe Kuongea Zaidi Kuhusu Jambo Hili Kwa Sasa Hawako Tayari Lakini Wameshangaa Sana Kwanini Wanachangiwa Wakati Hawakuwahi Kuomba Kufanyiwa Hivyo Na Mtu Au Kikundi Au Chama
 


Rule of law unayoisema hapa ni ipi? ya kusaini mkataba wa kifisadi wa richmond?


Mwanahalisi hawajaomba msaada bali memba wa JF wameamua kuwachangia. Wewe unaweza kupeleka mchango wako kwa mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata rostam azizi ili kujenga hiyo "rule of law"

How can people enjoy reading such hatred and anger every day? When did people stop believing that it was healthy to look on the bright side?

The same way they enjoy reading your hatred and anger against mwanahalisi.
 


Mwanahalisi has exposed the devilish actions of Rostam Azizi. It is now up to Kikwete and his govt to clear/punish him through the cour system.


The same law gives our president and his govt an opportunity and "power" to sign contracts with fake and evil companies like richmond.
 

The same way you aint getting away with your rubish!
 
can somebody tell me, mfano mwanahalisi limechangiwa, kila mtu katoa kidogo kidogo, RA akafuta kesi.
zile pesa zitafanywaje?
 

you dont help JF members make their money thus you cant decide on where and how they spend their money.
 
MCHANGO WA NINI???????????????PESA AU MAWAZO? WA KULIPIA MWANASHERIA???SIJAELEWA. KWA VILE TU CHENGE ANAWASHITAKI SASA NDIO MNATAKA MCHANGO?YAANI SASA KILA KITU ITAKUWA MCHANGO? TAFADHALI NIELEWESHENI
 
=mwafrika wa kike;185986]Mwanahalisi has exposed the devilish actions of Rostam Azizi. It is now up to Kikwete and his govt to clear/punish him through the cour system.

You are wrong again, ROSTAM AZIZ is still innocent until proved otherwise by the courts of law beyond reasonable doubt. He has the right or fair trial(if there will be one) in which he can defend himself against accusations. MWANAHALISI as a rag has just gone nuclear by declaring him as corrupt without any sustantive evidence to support them. Thats where my problems with this rag and its editor are.Ohh you talking about punishing...well how can you punish someone without a fair trial?

The same law gives our president and his govt an opportunity and "power" to sign contracts with fake and evil companies like richmond.
Another misguided response from you. Richmond is not a fake company and secondly its not evil...how about directing your inuendos to TZ govt officials who couldnt be arsed to read the small print??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…