Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

ukimaliza hii utaanza ipi?

Matusi kuwa wakristo wote ni makafiri kama ulivyofanya London?
unataka kuleta tabaka za kidini hapa. mie hunipatie uonesha wapi nimesema kuwa wakristu wote makafiri? endelea na bakuli lako ni maumbile kuomba.
 
Zitto sio yatima hadi achangiwe. basi muongo anaogopa mahakama.au karithi kwa SHIDA BINT SALUM?

Mahakamani watakwenda kama kawa, Chenge alichemsha kwa mwanahalisi ije iwe mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata Rostam Azizi!

BTW, umeacha uongo wako kwa zitto amebadili dini na kuwa mkristo?
 
KUBENEA keshatusaidia nini hapa JAMBO FORUMS?

MWANAHALISI lishasaidia nini kuhusu JF?

Whats so special kuhusus Mwana halisi?

KUBENEA mbona hakuisaidia JF zile pesa alizoopewa na LOWASSA?

Kuandika habari kuhusu Mafisadi peke yake ni mchango mkubwa tena si kwa JF tu ila kwa umma wa watanzania.

Tunawaandishi wangapi kama saed kubenea Tanzania?Tena hilo mwanahalisilenyewe ni shilingi mia 300 sijui hata kama wanapata faida kweli ila ukweli unabaki wao wanafanya kazi kuelimisha watanzania na kuwaaamsha waliolala.

Saed Kubenea akipewa pesa na mafisadi azifanye nini?azipokee azitafune kwani hizo ni zetu sisi wavuja jasho la damu. Azipokee kisha awaandike uozo wao.!!

We Chinga!

Kubenea hakuenda kutibiwa India kwa pesa za JK, JK anapesa?sema ameenda kutibiwa India kwa pesa za walipa kodi! plz edit hiyo post yako uandike kuwa alienda India kwa pesa za walipa kodi!
 
unataka kuleta tabaka za kidini hapa. mie hunipatie uonesha wapi nimesema kuwa wakristu wote makafiri? endelea na bakuli lako ni maumbile kuomba.

BTW, umeacha uongo wako kwa zitto amebadili dini na kuwa mkristo?
 
unataka kuleta tabaka za kidini hapa. mie hunipatie uonesha wapi nimesema kuwa wakristu wote makafiri? endelea na bakuli lako ni maumbile kuomba.

tafadhali acha matusi, je unataka na sie tukutukane kwa kutufundishia watoto wetu matusi? wanaingia kwa hii forum kwa taarifa yako. Nini hasa mbona mie sikuelewi? Nimesoma matusi hapa lakini wewe kiboko, nimekuvumilia sasa naona uvumilivu unanishinda
 
Kuandika habari kuhusu Mafisadi peke yake ni mchango mkubwa tena si kwa JF tu ila kwa umma wa watanzania.

Tunawaandishi wangapi kama saed kubenea Tanzania?Tena hilo mwanahalisilenyewe ni shilingi mia 300 sijui hata kama wanapata faida kweli ila ukweli unabaki wao wanafanya kazi kuelimisha watanzania na kuwaaamsha waliolala.

Saed Kubenea akipewa pesa na mafisadi azifanye nini?azipokee azitafune kwani hizo ni zetu sisi wavuja jasho la damu. Azipokee kisha awaandike uozo wao.!!

We Chinga!

Kubenea hakuenda kutibiwa India kwa pesa za JK, JK anapesa?sema ameenda kutibiwa India kwa pesa za walipa kodi! plz edit hiyo post yako uandike kuwa alienda India kwa pesa za walipa kodi!

Sokomoko,

walianzisha hiyo propaganda kuwa Kubenea amelipwa ili kumchafua lakini kila siku anawathibitishia walivyo wachovu. Saliva hii kazi ya propaganda inakushinda.

Rudi shuleni ukasome zaidi.
 
tafadhali acha matusi, je unataka na sie tukutukane kwa kutufundishia watoto wetu matusi? wanaingia kwa hii forum kwa taarifa yako. Nini hasa mbona mie sikuelewi? Nimesoma matusi hapa lakini wewe kiboko, nimekuvumilia sasa naona uvumilivu unanishinda

Mama mbona ukisoma alichoandika kabla ya kufungiwa wiki moja utafunga computer?
 
Nina heshima kubwa kwako,kusema kuwa Mwanakijiji ak.a mwafrika wa kike si muaminifu ni kosa? ungeuliza ushahidi sio kunishambulia tu. nina ushahidi wa utapeli wa huyu Mwafrika wa kike kitendo cha yeye mwanaume kutumia majina ya kike ni utapeli tosha,
huyu alituchangisha maiti ya Tobby huku walikuwa pamoja kwenye biashara zao chafu.
michango ya Ukraine alikula Mwanakijiji acha kupenda kijinga kama zezeta.

Mkulu kwanini hatuwezi kuwa serious kidogo, kama huna cha kuchangia nyamaza kama unaushaidi wa unayoyaongea weka bila kupiga kelele kwa vitu vya msingi unajidharauzisha kwa member wengine humu wanaojiheshimu.
 
Gazeti pekee Tanzania kuandika list ya mafisadi mwaka jana ambapo magazeti mengi yalisita kufanya hivi. Mwanahalisi wamekuwa wakiandika kile ambacho kinasemwa hapa JF ili wale wasio na mtandao wa internet wakipate.

Pia ni gazeti ambalo lilka kimya nchi ilipopeleka wanajeshi wetu kule COMORO bila kueleweka kuwa tunalipwa na na nani...in the end hili gazeti lilikaa kimya wakati tunatumia ma bilioni COMORO. Zaidi ya hayo gazeti hili ambalo mtu angetegemea lingekuwa na waa ndishi makini limekuwa kimya kuhusu Utata wa URAIA WA SALVA RWEYEMAMU, ZANZIBAR KUJIUNGA NA OIC ,WANAFUNZI WETU UKRAINE na mengineyo mengi tuu humu Jambo Forums.

Je ni mara ngapi MWANAHALISI LIMEWAPA BIG UP JAMBO FORUMS?

Kubenea ametumia "hizo pesa za Lowasa" kummaliza Lowasa hadi kupelekea mke wa Lowasa kulia bungeni kwa aibu.

KUBENEA hakutumia pesa kummaliza LOWASSA bali alipomaliza pesa za mwanzo na akaahidiwa kuwa zinaandaliwa fungu la pili ndipo akakasirika kwa nini hakuewa as soon as possible

Kilichomwondoa LOWASA si MWANAHALISI kwani tayari KUBENEA laikuwa kwenye PAYROLL YA LOWASSA bali ni ile ripoti ya MWAKYEMBE ndio iliyomwondoa Lowassa kibaruani

Hivi ule uvumi wa kwamba alikuwa anakula pesa kwa mafisadi ili asiwaandike ni kweli?

Kama alikula pesa za Lowassa what makes you think alikuwa hali na hao mafisadi wengine?

Pesa alizopewa na Lowasa kama fidia (au pole) ya kumwagiwa tindikali?

Jf na MwanaHalisi - common interest? Kupambana na mafisadi? Au mmoja wao ni mlinzi wa mafisadi? (implying pesa za Lowasa)

Hapa kuna watu wanataka kuforce NDOA betweem MWANAHALISI na JAMBO FORUMS hiii mimi siitaki hata kuona kwani sisi kama JF tunatakiwa tuwe independent kama tulivyokuwa siku zote

KUBENEA alipewa pesa kabla ya Tindikali, akatuliza ball for a while ..baadae akalalama kuwa biashara ya Gazeti ni matangazo hivyo akaomba wampe matangazo wakati bado wanaendelea kulishughulikia hilo ..ohoooo KUBENEA akaanza kuwatukana hao wao waliompa pesa hapo awali sasa kabla episode ya Tindikali haijafika walimchomea gari lake kama message ...sasa leo kibao kimegeuga anata hii UN HOLLY ALLIANCE na JF

simuelewi huyu mtu, je kesho akitokea mwtu mwingine akimuoffer mapesa atashindwa kutugeuka huyu?

At most naweza kumfananisha na wale watu wa pale mtaa wa Ohio.

wanafikiri watu wajinga humu.Asante sana
uwaulize na ruzuku wanakula wao.Kubenea huyo huyo alipelekwa INDIA kwa pesa za JK. wanafanya biashara bila kuwa na insurance?
wakiumwa mchango. wakifikishwa mahakamani mchango.majambazi haya achana nayo.

Kubenea ni mtu wao na hili linajulikana sasa nashangaa inawezekana kabisa kuwa hii ni strategy ya kutuyeyusha au kutuletea longo longo.

Kama anashida sana aende kwa Salva ,maana i am 100% mindset zao zinafana fanana.

huu ni wenda wazimu ltuna mengi ya kufanya humu na kama huyu angekuwa anataka ku keep it real angetulipia bill tya server ya miaka 2 ndio walau tungefikiria namna ya kumsaidia. Wee mtu akiumwa serikali inamlipia matibabu India lakini sie wenzetu wakikamatwa toka humu ndani alikuwa kimya

what a leech he is

Mimi hapa ndio nimeuliza kuhusu hilo swali, sasa mbona tena unageneralise, be specific. Kwani kuuliza ni kosa?

hatokujibu straight kwa sababu hana jibu
 
Unajua wanapomfungia ndipo anapopata nafasi ya kudai anaonewa na ya kuwa amenyimwa nafasi ya kujitetea and all the bs. Hapa kuna watu wazima na wanaweza kuona na sidhani kama kuna mtu anaweza kushtushwa na anachosema.
 
Zitto sio yatima hadi apitishe bakuli la njaa. anyway kazoea kuomba na utapeli ndio maana Dada yetu (Shida) alinyea debe ukonga miezi sita. sheria si mchezo. kumbe kuomba omba ni maumbile ya watu.

Wewe chinga nahisi unafi**a
 
Chinga na GT naona mmegundua kuwa RA amechemsha maana anakwenda kuimbua CCM mahakamani, mnatumia mbinu ya kutaka Kubenea asisaidiwe ili mmtishe amwangike RA, that will never happen mlimzui kuonge bungeni sasa ataongea mahakamani, maana report ya mwakyembe hakuandika kubenea ambayo imemtaja RA kuwa anamiliki Richmond, kwanini hakumshitaki mwakyembe ambaye alimtaja kabisa.

Sisi tutamsaidia wakutane mahakamani ili RA atueleze ukweli Richmond ni ya nani.
 
Pia ni gazeti ambalo lilka kimya nchi ilipopeleka wanajeshi wetu kule COMORO bila kueleweka kuwa tunalipwa na na nani...in the end hili gazeti lilikaa kimya wakati tunatumia ma bilioni COMORO. Zaidi ya hayo gazeti hili ambalo mtu angetegemea lingekuwa na waa ndishi makini limekuwa kimya kuhusu Utata wa URAIA WA SALVA RWEYEMAMU, ZANZIBAR KUJIUNGA NA OIC ,WANAFUNZI WETU UKRAINE na mengineyo mengi tuu humu Jambo Forums.

Je ni mara ngapi MWANAHALISI LIMEWAPA BIG UP JAMBO FORUMS?

Kitendo cha kuandika kile ambacho magazeti yote Tanzania yalisita kuandika ilikuwa ni very big up kwa Jamboforums. JF haitaki mchango toka kwa taasisi so far. Media zikiandika kile kinachoandikwa hapa JF ni big up ya nguvu kwa JF.

Kuna wengi hapa JF hawakuongelea mambo ya Comoro kwa vile hawakuwa na intelligence report kama ile uliyokuwa nayo.

KUBENEA hakutumia pesa kummaliza LOWASSA bali alipomaliza pesa za mwanzo na akaahidiwa kuwa zinaandaliwa fungu la pili ndipo akakasirika kwa nini hakuewa as soon as possible

Kilichomwondoa LOWASA si MWANAHALISI kwani tayari KUBENEA laikuwa kwenye PAYROLL YA LOWASSA bali ni ile ripoti ya MWAKYEMBE ndio iliyomwondoa Lowassa kibaruani

Kama alikula pesa za Lowassa what makes you think alikuwa hali na hao mafisadi wengine?

Unachosema hapa hakina tofauti na wale wanaosema kuwa JF inalipwa na Kikwete lakini mawe ya JF yanathibitisha otherwise.

Mwanahalisi wameandika mengi kuhusu Lowasa na ufisadi wake mara milioni moja ya kusafishwa kulikofanywa na magazeti mengine. Kwa hili facts zinakushitaki otherwise.

Hapa kuna watu wanataka kuforce NDOA betweem MWANAHALISI na JAMBO FORUMS hiii mimi siitaki hata kuona kwani sisi kama JF tunatakiwa tuwe independent kama tulivyokuwa siku zote

Hakuna aliyefanya hili mkuu kwa hiyo wewe endelea na hoja zako angainst mwanahalisi na utapata majibu accordingly.

KUBENEA alipewa pesa kabla ya Tindikali, akatuliza ball for a while ..baadae akalalama kuwa biashara ya Gazeti ni matangazo hivyo akaomba wampe matangazo wakati bado wanaendelea kulishughulikia hilo ..ohoooo KUBENEA akaanza kuwatukana hao wao waliompa pesa hapo awali sasa kabla episode ya Tindikali haijafika walimchomea gari lake kama message ...sasa leo kibao kimegeuga anata hii UN HOLLY ALLIANCE na JF

simuelewi huyu mtu, je kesho akitokea mwtu mwingine akimuoffer mapesa atashindwa kutugeuka huyu?

At most naweza kumfananisha na wale watu wa pale mtaa wa Ohio.

Bado ni yale yale unayoweza vyema - substance zero ila unakwenda below the belt.

Kubenea ni mtu wao na hili linajulikana sasa nashangaa inawezekana kabisa kuwa hii ni strategy ya kutuyeyusha au kutuletea longo longo.

Kama anashida sana aende kwa Salva ,maana i am 100% mindset zao zinafana fanana.

huu ni wenda wazimu ltuna mengi ya kufanya humu na kama huyu angekuwa anataka ku keep it real angetulipia bill tya server ya miaka 2 ndio walau tungefikiria namna ya kumsaidia. Wee mtu akiumwa serikali inamlipia matibabu India lakini sie wenzetu wakikamatwa toka humu ndani alikuwa kimya

what a leech he is

Sio lazima wewe uchangie kwa vile ulichotaka mwanahalisi wafanye hakikufanyika. Maelfu ya memba wengine wa JF watachangia maana wameona mchango wa mwanahalisi.

hatokujibu straight kwa sababu hana jibu

Huwezi kupata majibu straight kama huna maswali straight!
 
Mimi nadhani Chnga ni chachu nzuri tuu humu ndani na sidhani kama idea ya kumfungia ni nzuri ila naweza kumuudu huyu hivyo niacheni nitamwambia aache matusi na ndio maana wengine tulishaomba zipunguzwe forums na ile forum ya INCREDIBLE igeuzwe iwe ya special debate...na hiyo special debate iwe baina ya watu wawili tuu...kwa muda at least ya wiki 3 kisha iingizwe debate ya watu wengine wawili

Personally ningependa kuona debate baina ya Chinga na Kubenea au Sokomoko for minimum 3 weeks

sie wengine tutaingia kusoma tuu

mnaonaje?

lakini namuombea msimfungie mwacheni mimi nitaongea naye in private kuhusu matusi lakini tuangalie na wengine ambao nao wanamtukana kwani Chinga si yule wa kutoa shavu la pili
 
Back
Top Bottom