Saido mmoja ni sawa na foward nzima ya Yanga

Ashura UTI..yule mwingine Ashura cheupe
 

Attachments

  • 5ee8a4e4645546abb69c20636924eb17.jpg
    47.7 KB · Views: 1
Huu usajili ni wa mgunda au bodi???
 
Tuje na lile tukio la kumwagia wale waarabu taifa maji ya maiti mkiongozwa na privaldino
 
Huyu mwehu tayari amesahau uzi wake wa kumlinganisha Mayele na Kibu Dennis. Ule uzi utaishi muda mrefu sana.

Kwa sasa, watu wa maktaba wanauchukua na huu pia. Siku sio nyingi, hili kaburi litafukuliwa!
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…