Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BM3Nipo na na kocha naby fundi la mpira nilipomuonesha post hii amecheeka Sana
Ila ameniacha na methali hii nimetafsiriwa Kutoka kiarabu
GANDA LA MUWA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO
Huu usajili ni wa mgunda au bodi???View attachment 2464160
Uwezo wa Saido hauhitaji uchambuzi mwiiiiiiiingi. Sitaki kujiba kazi ya kuchambua, kama unataka uchambuzi chambua mwenyewe. Mimi nakuwekea sinema tu. Kwa wewe ambaye hukumuona jana basi jionee, maana unaweza kupotoshwa na haters.
Ukiangalia kwa jicho lisilo na husda utakubaliana na mimi kuwa Saido mmoja ni sawa na foward yote ya Yanga.
Ni jambo la afya kuona wachezaji wa Yanga wamekataa kuwa wanafiki, wamesema "Shikamoo Saido". Kuanzia Mayele, Farid, Aucho, Boxer, Sure Boy
Kaja huko kuoteshwa ubani maana mnachoma waziwazi mpaka kwenye nchi za watu sijui ndio kujifukiza.Ukweli Saido alichoshindwana na gongowazi ni kukataa kulambishwa yai viza katika mambo yao ya kishirikina.
Tuje na lile tukio la kumwagia wale waarabu taifa maji ya maiti mkiongozwa na privaldinoHivi tukiilinganisha Yanga na simba kwenye hicho kitengo cha ushirikina; nani atatangazwa mshindi saa 2 tu asubuhi?
Tuanzie kwenye lile tukio la kuingia na paka uwanjani kwenye mechi na Platinum, kuwasha moto uwanjani kule Afrika ya Kusini, Gadiel michael kuingia uwanjani saa 4 asubuhi ili kuweka mambo sawa, nk.
Wakati huyo ni zao letu ! Sana sana mtushukuru..tena nyamazeni tutamrudisha si mnajua bado ana mapenzi na timu yake?
Kweli nimeamini simba wajawazito ni wengi
Sawa cocasticSawa kabwili
Sawa cocastic
😃Upo bi.Ashura cheus
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu mwehu tayari amesahau uzi wake wa kumlinganisha Mayele na Kibu Dennis. Ule uzi utaishi muda mrefu sana.
Kwa sasa, watu wa maktaba wanauchukua na huu pia. Siku sio nyingi, hili kaburi litafukuliwa!