AU kutangulia mbele za haki pasipo kuitwa na Manani.Tafuta demu, sikiliza muziki ulio changamka kama singeli, usikae pekee yako, Ukizembea jiandae kukonda kama muugua ukimwi
Nilikuwaga nna stuation kama hyo ila nilii handle mwenyeweNdugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..
nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??
nahitaji mawazo vipi niondoe stress
Haya maji yasipungue lita mbili kijana!!!! ni dawa ya kihindi hii (maji yatakuchosha utalala)Tafuta kazi ya kuku keep busy after work kunywa maji mengi kisha lala
Perfect ushaurJitahidi uepukane na hyo hali.maisha yenyewe mafupi.ridhika na madhaifu yako.yasikuumize kichwa.maisha ni haya haya.
mkuu uliidhibiti vipi hali hii naomba nipe knowldedge na mimi niondokane na janga hiliNilikuwaga nna stuation kama hyo ila nilii handle mwenyewe
ahhhah mkuu ushauri wako wa kibabe...Pole mkuu....piga chini stress, life's too short bro
Nilikuwa nawaza sana hat hayo maisha ya kufakufa ila baadae nikaona kufa nimatokeo tu ngoja nichukulie simple tu kama kifo kipo tu, pia niliwaza haya mawazo ninayo yawaza mm ndio tatzo nmelitatua?mkuu uliidhibiti vipi hali hii naomba nipe knowldedge na mimi niondokane na janga hili
ahsante
NB usipende kukaa pekeyako mkuuahhhah mkuu ushauri wako wa kibabe...
ssasa napigaje chini stress mkuu kwa sababu ni jambo la ndani ya mwili ngumu
Mkuu nashkuru sana kwa ushauri...NB usipende kukaa pekeyako mkuu
Kiuhalisia mi mwenyew huwa sipend kuw karb na baadhi ya watu kwasababu hyohyo ila nnacho kifanya kama sina chochote cha kufanya natafut kitu cha kwenye sim cha kufanya mfano mm huw napenda sana ma game najikita sana huko au kama nnandugu yangu karb namtembelea mida ya jion napga nae story mida fulan narud home mwendo wa ma game aisee kwangu mawazo huwa nadra sana au naingia jf huwa kunameseji zinafurahisha sana humu.Mkuu nashkuru sana kwa ushauri...
unajua some time nikisema nikae na watu nakuta story za majungu alafu nakuta nachukia tu naanza kuondoka kwa gia ya kupokea cm ndo mazima hyooo
Depression sio mchongo mkuu mi ilvyo nikumba sikuendaga hata hospital ila nilitafta njia ya kujisaidia mwenyewe na nkaipat ila mpaka sasa afya yangu bdo haija recovery mkuu.Huwezi kutibiwa stress au depression bila kujua tatizo ni nini. Funguka usaidiwe njoo PM naweza kukuelekeza cha kufanya ilinikumba depression mwaka jana nilikuwa naendesha gari njiani hata sijui napoenda yaani niliponea chupu chupu kufa na nilikonda mpk boksa zikawa zinanivuka ila kwa sasa niko strong kuliko hata kipindi kabla ya msongo
pole sana mkuuDepression sio mchongo mkuu mi ilvyo nikumba sikuendaga hata hospital ila nilitafta njia ya kujisaidia mwenyewe na nkaipat ila mpaka sasa afya yangu bdo haija recovery mkuu.