Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

HIYO HALI IPO KWA VIJANA WENGI HASA WENYE AGE YA 25-30. UKIWAZA MAISHA UNAYOISHI HUJAFANIKIWA JAMAA ZAKO ULIOCHEZA NAO UTOTONI MAMBO YAO SAFI UNAJIKUTA TU HUNA RAHA UNAJIHISI KAMA MSINDIKIZAJI KATIKA DUNIA HII. SO KIKUBWA VIJANA TUJIKUBALI TUPAMBANE NA HALI ZETU TU BINADAM WOTE NI SAWA, UWE NACHO USIWE NACHO, MWISHO WA SIKU LAZIMA ULAMBE ARDHI
 
Tafuta demu, sikiliza muziki ulio changamka kama singeli, usikae pekee yako, Ukizembea jiandae kukonda kama muugua ukimwi
AU kutangulia mbele za haki pasipo kuitwa na Manani.
 
Depression inatokana na higher expectation ambazo zinapingana na reality,
Tafuta mtu unaempenda sana uongee nae chochote kile hakikisha unakuwa free kuongea.
Pia badili mazingira labda uende mahali kama cinema au kuangalia mpira hata wa mtaani,
Fanya mazoezi,fanya ibada kingine shinda jamii forum jukwaa la MMU
 
Katika hii Dunia tunapita katika changamoto nyingi sana zingine hazielezeki hata kidogo lakini cha muhimu au ushauri wangu kwako ni ujifunze kumweleza Mungu kila hali inayokusibu yeye anakujua vema na anaweza kufanya kila kitu kama ilivyoandikwa 1Petro 5:7 mtwike Bwana Fadhaa zenu Zote maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu
 
Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..

nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??

nahitaji mawazo vipi niondoe stress
Nilikuwaga nna stuation kama hyo ila nilii handle mwenyewe
 
Tafuta kitu cha kukukeep busy, kisha ingia kitandani saa sita au saba ukishtuka saa kumi au kumi na moja sio mbaya
 
mkuu uliidhibiti vipi hali hii naomba nipe knowldedge na mimi niondokane na janga hili

ahsante
Nilikuwa nawaza sana hat hayo maisha ya kufakufa ila baadae nikaona kufa nimatokeo tu ngoja nichukulie simple tu kama kifo kipo tu, pia niliwaza haya mawazo ninayo yawaza mm ndio tatzo nmelitatua?

Hapana nikaanza kujiweka karibu na watu napga story mbili tatu. Nilikuja kuanza kutafuta ni kitu gani huwa nikifanya kinanipa furaha hat ya mda mfupi tu nilipo kigundua nikakipa kipau mbele hichohicho nikawa nakifanya mara kwa mara.

Kitu kingine tafuta rafiki unae mwamn na yeye akakuamn uwe unamuelezea matatzo yako pindi akutiapo moyo unapata faraja, fanya mazoez, jikite kwenye shughul za hapa na pale kula vizur hat kama huna ham jilazimishe.

Em kuwa mtu wa kuchukulia kila kitu simple, mm mwenyewe hapa kila kitu huwa nachukulia simple hata kama nkipoteza pesa kama juz kat nlkuw nmeanzisha biashara ilinikata mtaji wangu wote ila nikachukulia simple nikasema haya yote ni matokeo tu ila nitajipanga tu nikachukulia simple.

Haya nilikuwa nnampenz ambaye nilimpenda sana nilimfanyia kila kitu lakn alinifanyia vitu vya ajab mno nkamuacha kwa sababu ya kuchukulia simple kiukweli mi huwa ni time taker. Mawazo hayapo kwaajili yakukusaidia ila yapo kwaajil ya kuharb jipange take easy kila kitu.
 
Mkuu nashkuru sana kwa ushauri...

unajua some time nikisema nikae na watu nakuta story za majungu alafu nakuta nachukia tu naanza kuondoka kwa gia ya kupokea cm ndo mazima hyooo
Kiuhalisia mi mwenyew huwa sipend kuw karb na baadhi ya watu kwasababu hyohyo ila nnacho kifanya kama sina chochote cha kufanya natafut kitu cha kwenye sim cha kufanya mfano mm huw napenda sana ma game najikita sana huko au kama nnandugu yangu karb namtembelea mida ya jion napga nae story mida fulan narud home mwendo wa ma game aisee kwangu mawazo huwa nadra sana au naingia jf huwa kunameseji zinafurahisha sana humu.
 
Huwezi kutibiwa stress au depression bila kujua tatizo ni nini. Funguka usaidiwe njoo PM naweza kukuelekeza cha kufanya ilinikumba depression mwaka jana nilikuwa naendesha gari njiani hata sijui napoenda yaani niliponea chupu chupu kufa na nilikonda mpk boksa zikawa zinanivuka ila kwa sasa niko strong kuliko hata kipindi kabla ya msongo
 
Huwezi kutibiwa stress au depression bila kujua tatizo ni nini. Funguka usaidiwe njoo PM naweza kukuelekeza cha kufanya ilinikumba depression mwaka jana nilikuwa naendesha gari njiani hata sijui napoenda yaani niliponea chupu chupu kufa na nilikonda mpk boksa zikawa zinanivuka ila kwa sasa niko strong kuliko hata kipindi kabla ya msongo
Depression sio mchongo mkuu mi ilvyo nikumba sikuendaga hata hospital ila nilitafta njia ya kujisaidia mwenyewe na nkaipat ila mpaka sasa afya yangu bdo haija recovery mkuu.
 
Depression sio mchongo mkuu mi ilvyo nikumba sikuendaga hata hospital ila nilitafta njia ya kujisaidia mwenyewe na nkaipat ila mpaka sasa afya yangu bdo haija recovery mkuu.
pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom