Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..

nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??

nahitaji mawazo vipi niondoe stress
Oa mkuu
 
Pole sana mkuu, stress ni mbaya sana, tafuta kitu chochote kinachoweza kukupa furaha hata km ni bange au gongo ili tu uwe na furaha.

Stress ni mbaya sana, gharama ya kujitibia ni kubwa sana.

Ikiwa Uko rijali tafuta msichana fanya nae sex na Piga nae story, moja ya sababu kubwa ya stress kwa mwanaume ni kutofanya sex kwa mda mrefu.

Keep busy yourself, soma vitabu, avoid kutembea barabarani ukiwa peke yako, Unaweza kugongwa na vyombo vya moto!

Km Upo Mjini na ndg zako wengi WaPo kijijini fanya mpango urudi kwenu kuwasalimia, ukiwa na ndg utasikia Faraja sana. Usiogope kurudi kijijini kwa sababu ya hali yako ya kimaisha kuyumba!
 
mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..

ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi

ndyo mfano wa mimi
Kwan n KTU gan hakiend vzur??n kaz huna??unamatizo ya ndoa au??tupe chanzo tujue cha kushaur...ila stress n hatar mno hasa kma unaish mwnywe
 
mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..

ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi

ndyo mfano wa mimi
kwann unaogopa kifo?
 
Umehonga snaaa au maisha[emoji848] vyuma? Vimenaniliuu weka wazi kidg tujue chakusema apa
 
Shikamoo physical exercise always before the work and after the work
 
BIGURUBE,
hiyo ya kunywa vilevi hapana sio nzuri to get drunk out of stress is useless and far Dangerous, na ya kusema atafute msichana aSex nae pia sio nzuri hata kidogo tena hiyo ndo huenda ikamuongezea msongo wa mawazo,

aanze kuwaza kama amenusurika kupata magonjwa ya zinaa kwa huyo msichana au kumpa mimba bila kuwa na mpango au uhitaji nayo.....No!

mimi kwa ushauri wangu kidogo ni JUST FACE ALL YOUR PROBLEMS DON'T TRY TO ESCAPE 'EM, anza tatizo moja moja jiulize je unaweza kulitatua kama ni ndio kwann likukoseahe raha ss na kama ni hapana pia kwann likukoseshe raha wakati lipo nje ya uwezo wako....achana nalo.

its Okay to feel down, its Okay to feel unwanted, its Okay to feel bored, its Okay to Cry but dont let these feelings/moments destroy you....ukijisikia kulia we liaaa badae nyamaza fanya mambo mengine.

usituone watu muda wote tunatabasamu humo njiani ukadhani labda hatuna matatizo tunayo sana tu ila tunajifunza kuyakabili na kuyapuuza mengine.
Life is beautiful chief....dont look on that side brother turn to this side and cheer!

yani kwanza hizi comment za humu tu mimi nimecheka sana....so wakati mwingine ni ww jinsi unavyoyachukulia maisha ndivyo maisha yatakavyokufanya uwe.

welcome to my world of peace and joy[emoji111][emoji4][emoji1]
 
Pole sana kaka jaribu kusoma Neno la Mungu utapata faraja, pia pendelea kwenda sehemu za ibada au beach ukae huko mawazo yatapungua. kama unapenda kuangalia movie hii pia ni nzuri ukirudi geto unawasha DVD unaangalia movie unazopenda.
 
mkuu Mungu akulipe
 
Mr Miller,
mkuu nashkuru sana tena sana kwa huu mchango wako...

Mana umeona mbali kwa kuvunja ushauri wa hao wanaosema niende kwenye ulevi na wanawake tena...

tena hao wanawake hata uende na soksi kama sio mzoefu unawaza mwanzo mwisho kutokana na zile propaganda kwamba condomu haizuii ule umeme...

tehehe mkuu pamoja sana na kama una maushauri mengine niletee hapa nizidi kufaidika mkuu
 
karibu, usijali nitakuwa napita humu maana pia kuna ushauri wa wengine hata mm unanisaidia pia....tuko pamoja chief.
 
karibu, usijali nitakuwa napita humu maana pia kuna ushauri wa wengine hata mm unanisaidia pia....tuko pamoja chief.
mier mier joh...

haya maisha bhana ..
ukisema ujichanganye na watu nao majungu tu mara fulani hivi mara vile au stori za michepuko na malaya dah

sasa na mimi majungu siwezi nabaki nakaa kimya hapo ndo naona hamna haja ya kukaa na watu ambao mada zao sichangii naamua kupiga simu na kusepa kabisa...
 
muda mwingine si kila ukitakacho , unachokitaraji au ukipendacho kitafika kwako kirahisi ama kitakufaa zaidi kuliko unavyotakiwa kufanya...

once nilikuwa kama wewe maana sikupata nilichokitaraji lakini sikuchoka kuweka mipango ilhali nimekata tamaa na ninamshukuru Mungu nimefika ambapo sikupataraji lakini nimejifunza kupapenda na kukubaliana na hali....

kingine inaonekana huna msiri wako na kingine huwa unajilinganisha na wengineo ..ukiwaona kwa nje wanafurahi bhasi unajiona wewe haujabarikiwa lakini niamini, hao unaowaona pengine wana matatizo makubwa kukuzd lkn hawajachoka ...

angalia ni wapi umebarikiwa zaidi .alafu angalia namna ya kukitumia ulichonacho kufikia unapopahitaji ...
 
dah mkuu hapo umenigusa kweli kuhusu kuwa na mtu nampa siri zangu kwa kwelii sina kama rafiki nazungumza nae kawaida

na sina mtu wa kumuambia yale ya siri kwa sababu hawa rafiki nilionao unaweza kinmuambia jambo lako kisha baadae akikaa na washkaji wengine kunogesha story naye anasimulia yale ulomuambia

sasa imenifanya nitizame kwanza yupi wa kumfanya msiri jambo ambalo naona bora ishu nikae nazo mwenyewe kuliko kumuambia mtu ambae naye anazisambaza kwa wengine naona ananipa stress zaidi..

au unanipa wazo gani kuhusu hili mkuu Tobaa
 
Back
Top Bottom