Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Huko kwenu hamna k vant?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oa mkuuNdugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..
nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??
nahitaji mawazo vipi niondoe stress
Pole sana mkuu, stress ni mbaya sana, tafuta kitu chochote kinachoweza kukupa furaha hata km ni bange au gongo ili tu uwe na furaha.Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..
nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??
nahitaji mawazo vipi niondoe stress
Kwan n KTU gan hakiend vzur??n kaz huna??unamatizo ya ndoa au??tupe chanzo tujue cha kushaur...ila stress n hatar mno hasa kma unaish mwnywemkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..
ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi
ndyo mfano wa mimi
kwann unaogopa kifo?mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..
ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi
ndyo mfano wa mimi
mkuu Mungu akulipePole sana kaka jaribu kusoma Neno la Mungu utapata faraja, pia pendelea kwenda sehemu za ibada au beach ukae huko mawazo yatapungua. kama unapenda kuangalia movie hii pia ni nzuri ukirudi geto unawasha DVD unaangalia movie unazopenda.
ahahahha..mkuu umenifurahisha sana..Umehonga snaaa au maisha[emoji848] vyuma? Vimenaniliuu weka wazi kidg tujue chakusema apa
karibu, usijali nitakuwa napita humu maana pia kuna ushauri wa wengine hata mm unanisaidia pia....tuko pamoja chief.mkuu nashkuru sana tena sana kwa huu mchango wako...
Mana umeona mbali kwa kuvunja ushauri wa hao wanaosema niende kwenye ulevi na wanawake tena...
tena hao wanawake hata uende na soksi kama sio mzoefu unawaza mwanzo mwisho kutokana na zile propaganda kwamba condomu haizuii ule umeme...
tehehe mkuu pamoja sana na kama una maushauri mengine niletee hapa nizidi kufaidika mkuu
mier mier joh...karibu, usijali nitakuwa napita humu maana pia kuna ushauri wa wengine hata mm unanisaidia pia....tuko pamoja chief.
mkuu MMU nalipataje jukwaa hiloFanya hivi,ukirud tu geto kwako ingia jf halafu pitia thread na comments za jukwaa la MMU[emoji23]
dah mkuu hapo umenigusa kweli kuhusu kuwa na mtu nampa siri zangu kwa kwelii sina kama rafiki nazungumza nae kawaidamuda mwingine si kila ukitakacho , unachokitaraji au ukipendacho kitafika kwako kirahisi ama kitakufaa zaidi kuliko unavyotakiwa kufanya...
once nilikuwa kama wewe maana sikupata nilichokitaraji lakini sikuchoka kuweka mipango ilhali nimekata tamaa na ninamshukuru Mungu nimefika ambapo sikupataraji lakini nimejifunza kupapenda na kukubaliana na hali....
kingine inaonekana huna msiri wako na kingine huwa unajilinganisha na wengineo ..ukiwaona kwa nje wanafurahi bhasi unajiona wewe haujabarikiwa lakini niamini, hao unaowaona pengine wana matatizo makubwa kukuzd lkn hawajachoka ...
angalia ni wapi umebarikiwa zaidi .alafu angalia namna ya kukitumia ulichonacho kufikia unapopahitaji ...