Mkuu, haupo peke yako, mi nina issue inaitwa: Maladaptive daydreaming.
Yaani nitaanza kutembea mwenyewe uku nimevaa earphone nasikiliza music nitakua nawaza vitu ambavyo ata impossible kuvimiliki au kuarchive.
Kuendesha Lamborghini, Kumiliki majumba, kua na mahela, kumeet watu maarufu, kuarchive mambo makubwa etc.
Yaani ninavotembea natengeneza kama movie hivi kichwani, na naweza enda umbali mrefu bila kujua nimefikaje. Sometimes naweza amka saa 6 usiku nikavaa earphones nikaanza safari.
Kila siku lzima nifanye hivo na nitatembea kama kilometa 2 kwenda juu.
Nishawahi tembea Ubungo to Mbagala uku nikiwaza.
Nikiwa depressed ndio tatizo linaongezeka. Kusocialize siwezi. Sometimes nawatoroka washkaji naenda daydream ata dakika 30 hafu narudi.