Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Wordsworth, Hapo kwenye introvert sikupingi siku zote mi ndo nimekua wa kuwaepuka watu sio kwamba siwapendi ila basi tu i like my own company.

Muda mwingi nakuaga nacheza games au nacheki ila sasa mi kua muda wote 24 hours nafanya kitu ndo siwezi lazima kuna time nakuwa nimechil tu hapo ndo balaa linapoanza.
 
Tafuta hiki kitabu, mimi pia nilikuwa na tatizo hili, ila now limepungua sana
1580066975241~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 1580066949338.jpeg
    1580066949338.jpeg
    44.8 KB · Views: 2
Hakuna kitu kinanipa sana mawazo mm kama kujiona mpka sasa ni mtumwa wa kazi kwa Boss wangu,najiuliza yeye alikuwa mwajiriwa lakini leo yeye ana kampuni yake na anatupelekesha kinoma,naweza tumia siku mzima nawaza inakuwaje mm nashindwa kuanzisha cha kwangu,muda nnaotumia kwake, nguvu na maharifa nnayotumia kwake ili kazi yake iwe smart kwann naitumia kwake?

Kuna wakati namuuliza Mungu wapi nakosea na kwanini nakwama ila majibu sipati naishia kuwa over thinking ila nnaofanya nao kazi wao wapo kawaida tu!!!.
 
Mkuu, haupo peke yako, mi nina issue inaitwa: Maladaptive daydreaming.

Yaani nitaanza kutembea mwenyewe uku nimevaa earphone nasikiliza music nitakua nawaza vitu ambavyo ata impossible kuvimiliki au kuarchive.

Kuendesha Lamborghini, Kumiliki majumba, kua na mahela, kumeet watu maarufu, kuarchive mambo makubwa etc.

Yaani ninavotembea natengeneza kama movie hivi kichwani, na naweza enda umbali mrefu bila kujua nimefikaje. Sometimes naweza amka saa 6 usiku nikavaa earphones nikaanza safari.

Kila siku lzima nifanye hivo na nitatembea kama kilometa 2 kwenda juu.

Nishawahi tembea Ubungo to Mbagala uku nikiwaza.

Nikiwa depressed ndio tatizo linaongezeka. Kusocialize siwezi. Sometimes nawatoroka washkaji naenda daydream ata dakika 30 hafu narudi.
 
Nahisigi hii kitu sijui ndio inanipelekeaga nakosa hamu ya kula hata kwa week nzima nakula kwa kujisukuma sana.
 
shukrani mkuu inaweza kua ugumu wa maisha pia unachangia lakini haya yaliyopita mi nayawaza,
Kitu kingine niongee tu kipindi ambacho hii kitu inaanza ndo nilikua mtu kusali sana na najua ndo moja ya sababu ya kuniweka mbali na dini
We jamaaa Ni Melancholic ,kufa taratibu Ni sahihi tatizo mojawapo ambalo introvert wengi hukutana nalo.
Soln
_Jigundue unapenda nini hutaki nini.
_Mambo gani yanakukosesha amani
_jitambue wewe Ni Nani na una haiba gani

Soma Biblia au Quran husaidia sana kurudisha tumaini la mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana una idea ya kuishi kwa kuangalia present na si past or future, sasa shida sijui iko wapi , ingawa sio rahisi lakini inawezekana kuwaza pale unapotaka kwani mawazo yasio na mpangilio yanamaliza nguvu sana . Unachoka, pia matatizo kama pressure na kisukari vitakuandama.

Tafuta kitabu cha Ekhart Tolle kinaitwa The power of now , utapata msaada jinsi ya kuyaongoza mawazo yako kwa jinsi inavyotakiwa kwa binadamu. Utaishi maisha yenye furaha na daima utakuwa mchangamfu.
 
Below 40,
Ningefahamu umri wako ningekushauri kulingana na umri huo. Ila inaonekana bado ni chini ya 30. Tatizo la personal identity linamkumba kila mtu anayepitia kipindi cha ukuaji. Unaweza kukosa furaha kabisa kutokana na yaliyotokea mchana au siku iliyopita yakakutatiza mno na hata wengine huwaza kujinyonga.

Unatakiwa kujitegemea kifikra. Usijilinganishe sana na wenzako au usiangalie mno mapungufu yako. Bado unakua na tambua kwamba kipindi hiki cha “crisis “ ni kawaida kwa kila mtu na nikipindicha mpito tu.

Timiza wajibu wako. Ridhika na unachofanya hata kama hupati matokeo unayotamani, tambua kwamba hakuna anayepata kwa 100%, hata awe nani.

Kuwa realistic. Usijiwekee malengo au mipango mikubwa mno. Uwezo wa kumudu mikiki ya maisha inategemea sana pia umri wa mtu na ukomavu unaotokana na experience. Usijifungie sana ndani ya nafsi yako, toka nje na fanya mambo yako kwa ushirikiano na wengine.

Sali, omba Mungu kila siku kabla ya kulala na uamkapo. Nafahamu vizuri mno kwamba kuna ulimwengu wa roho unaopambana na wanadamu na kama haupo vizuri na Mungu basi utasumbuliwa sana na nguvu za giza ili uweze kutumika upande ule.
 
Hapana, kama sio mnywaji asijaribu...Pombe haitibu tatizo inamsahaulisha matatizo kwa muda....Mwisho wa siku kila akianza kufikiria tu anajidunga pombe, na kama kipato ni kidogo atajikuta anaongeza matatizo katika uchumi wake.
Sikutegemea kama unaichukia pombe yangu kiasi hichi[emoji26][emoji37][emoji53][emoji17][emoji22] mpaka kuitolea hizo kashfa.

Anyway uko sawa kabisa [emoji106] sasa afanyaje ili asahau? Ye anahitaj msaada juu ya hilo. Ila mi bado namsisitizia pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fazili, Shukrani sana mkuu nimekuelewa binafsi kiumri nipo kwenye mid 20's hapo kama utaweza kua na jambo la kuongezea nitashukuru.
 
sandpiper,
Mkuu kuhusu present sina tatizo ila past na future ndo naishi sana huko muda wote nawaza yaliyopita mfano makosa nk na pia sichoki kuwaza future
 
Mkuu kuhusu present sina tatizo ila past na future ndo naishi sana huko muda wote nawaza yaliyopita mfano makosa nk na pia sichoki kuwaza future
Tafuta Hicho kitabu, kimewasaidia wengi. Eckhart Tolle = The Power of Now A Guide to spiritual enlightenment.
 
Mad Max,
Duh Pole mkuu mimi kwa wiki nzima naweza pata usingizi mara mbili tu usiku muda mwingine ukishtuka sa 9 ndo mazima hadi asubuhi.

Hapo kwenye kutembea mkuu sijui kwa nini mawazo ndo yakuwaga mengi unaanza ku Annalyse vitu vingine hata visivyo na maana
 
Hii kitu inanifanya niharibu utendaji wangu wa kazi niwapo kazini mpaka naonekana wa ajabu..maana najikuta nakosea makosa yaleyale kila mda
 
Most of the time, introverted people live in their heads. So, in my opinion, you have no medical problem at all.

Wewe kinachokusumbua ni umri wa ujana na harakati za maisha.

Tafuta hela. Yataisha yote hayo!
 
Back
Top Bottom