Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Sikiliza track ya CCM mbele kwa mbele ufe kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kama mimi....yaani ukifika nyumbani kila kitu kinaonekana kibaya...na huwa nikinywa hata bia moja ndo sipati usingizi kabisaNdugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..
nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??
nahitaji mawazo vipi niondoe stress
Stress ni ugonjwa kama magonjwa mengine..Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..
nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??
nahitaji mawazo vipi niondoe stress
mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..Unamfahamu nini kinachokupa stress?
dah mkuu sasa itabidi niamie huko huko hata geto nisiende kabisa yani getoToka! Geto unafanya nini? yapo makanisa, misikiti ,vijiwe nk
Kuna kitu kilikuumiza lakini ukajiona wewe ni mwanaume ngoja ni sahani maishavya songe. Your sub conscious mind is not ready to let it go that way.mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..
ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi
ndyo mfano wa mimi
Mkuu, this is not right.Sikiliza track ya CCM mbele kwa mbele ufe kabisa
Tumia lugha yetu mkuuMkuu, this is not right.
In a world full of all sorts of evil and chaos the best you can do it be nice to each other.
Pata picha mpaka mdau amejitokeza kuomba msaada ujue kakosa furaha na wmani kabisa katika maisha yake.
Just be kind, don't make him feel worse.
mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..
ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi
ndyo mfano wa mimi
Utaelewa hivyo hivyo.Tumia lugha yetu mkuu
Hiyo siyo stress hiyo ni depression.mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..