Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..

nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??

nahitaji mawazo vipi niondoe stress
Upo kama mimi....yaani ukifika nyumbani kila kitu kinaonekana kibaya...na huwa nikinywa hata bia moja ndo sipati usingizi kabisa
 
Ndugu zangu bila kuwaste time naomba msaada ..

nina janga la msongo wa mawazo (stress)naona kila jambo sina raha nalo wakuu .yani nikiingia geto tu mawazo telee sasa maisha gani haya ndugu zangu??

nahitaji mawazo vipi niondoe stress
Stress ni ugonjwa kama magonjwa mengine..
Nakushauri nenda kwa daktari wa magonjwa ya akili (psychiatrist) ukaongee nae.

Wengi wenye stress na depression wanaishia kwenye suicide
 
Unamfahamu nini kinachokupa stress?
mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..

ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi

ndyo mfano wa mimi
 
Kuna kitu kilikuumiza lakini ukajiona wewe ni mwanaume ngoja ni sahani maishavya songe. Your sub conscious mind is not ready to let it go that way.

Kaa chini ukumbuke na ukipata jibu Dili na tatizo. Imbalance msamaha au mweleze aliyekukosea jinsi ulivyoathirika
 
Sikiliza track ya CCM mbele kwa mbele ufe kabisa
Mkuu, this is not right.

In a world full of all sorts of evil and chaos the best you can do it be nice to each other.

Pata picha mpaka mdau amejitokeza kuomba msaada ujue kakosa furaha na wmani kabisa katika maisha yake.

Just be kind, don't make him feel worse.
 
Tumia lugha yetu mkuu
 
mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..

ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi

ndyo mfano wa mimi

Mkuu, do you believe in God? Tuanzie hapo.

Kamwe Mungu hawezi kukupa mtihani utakaolemea mabega yako. Na hakukuleta duniani humu kuishi kwa masikitiko.

You were not a wasted sperm. You have a purpose.

So face your situation. Je, ni mapenzi? Why ukose raha? Bwaga manyanga anza upya. Umeachwa? Fine, somebody better will come your way. Udijitie mawazo tu kupitiliza.

Ni biashara? Umeingia hasara? Usikate tamaa. Pull out your books. Review where you went wrong. Try again.....

At the end of the day, life continues. It is a beautiful world, change the perspective you are watching from.
 
mkuu shida kubwa naweza kukaa kisha nikajikuta naona kila kitu hakina maana yeyote naona kama napoteza muda tu kwenye dunia hii wakuu..

ni kama mtu aliefiwa na mtu wake wa karibu anakuwa kama na kahuzuni fulani moyoni ...anawezakuchangamka baadhi ya mda lakini likimjia lile la kifo anakosa amani kabisa na mambo hayaendi

ndyo mfano wa mimi
Hiyo siyo stress hiyo ni depression.

Lini imekuanza?

Umewahi kuwa na malengo na maisha?

Umeyafikia malengo? Kwa kiasi gani?

Malengo yako yanahusisha mahusiano?

Mahusiano yako na watu wako wa karibu yapoje?

Mahusiano yako na jamii yapoje?
 
Jitahidi uepukane na hyo hali.maisha yenyewe mafupi.ridhika na madhaifu yako.yasikuumize kichwa.maisha ni haya haya.
 
Back
Top Bottom