Asalaaaam wakuuu wa jukwaaaaa hili,,, leo nami naomba nishee nanyi historia fupi juu ya magumu niliyopata kupitia katika mahusiano hata kabla ya ndoa,,,ambayo kwa hakika yamepelekea kuwa na mawazo yasiyoweza elezeka'',,,,,
Safari rasimi ya mahusiano ilianza mwaka 2015 kipindi hiki nikiwa advance,,,,,ambapo niliweza pata msichana ambaye hakika nilipenda naue alionesha kunipenda kweli kipindi hiki yeye akiwa amehitimu form four,,,,,kwa vile ilikua wakati wa likizo ya mwezi mmoja tu hatimaye niliondoka na kuweza agana naye nami nikarejea shulen.
Hatimaye matokeo yake yalitoka na kwa bahati nzuri alifauru namie ndiye niliyepasha hizi taarifa alifurahi sana,,,, likizo ya mwezi wa sta nikarudi nayeye akiwa anajiandaaa kwenda shule niliweza mletea baadhi ya material na alinishukuru sana,,,,,,kama ilivyoada “tulidumisha pendo kwa vitendo” na hapo nilifurahi sana na woye tukawa tumeondoka kwa pamoja na kila mtu akiwa kaenda mkoa tofauti,,,,,,,,, hatimae likizo ya mwezi wa kumi na mbili 2016 ikawa imefika na tukakutana tena nyumban,,,,,,,.
Hapo akawa taratibu kaanza kubadilika lakin kutokana mim nilikua naelekea necta nikaona wacha nisome kwanza afu baaada ya mtihani nitafatilia,,,,, nilianza tu kupata taarifa kuwa kashakua na mtandao hiyo ilinifanya nisitaman tena kutana naye kimwili na hatimaye sku yenye kumbukumbu ikafika.
Ilikua katka mkesha wa mwaka mpya nikamwambia tupande kanisan akakubali baadaye akasema kakataliwa na wakwao nami nikaaamua kulala mida ya saa nne usku nikapigiwa simu nikiitwa kanisan na jamaaa angu kwenda nikamouta na yule demu angu ,,,,, asa wakat wa kutoka tukawa tumetangulia mara akaja na mshikaji mwingine akatukuta kwa mbele na tulitangulizana ilipofika sehem ya uwaz na kuna taaaa tukawahi na kuwafikia,,,,.
Nikafika nikamsalimia yeye pamoja na mshikaji ,,, afu nikamuuuliza “Flani” kumbe ulifika na huku???? Akasema ndio nikamwambia usku mwema sie tukaondoka na kuelekea nyumbani,,, kesho ake kama kawaida nilimtafuta tu kwa tabasamu na kuonesha upendo kama umekolea sana,,,, japo alijisutukia sana mwishoe akaniuliza inakuaje ananikosea afu namuonesha tu kumpenda??? Nikamwambia hukukosea bali ulifanya kile ambacho roho ako inataka,,,,.
Hilo liliniuma sana tena sana na niliwah kuondoka na kurudi shulen kwenda kumalizia na hatimaye nikapiga pepa,,,, na matokeo yakawa fresh nikajiunga na chuo kikuuuuu kimoja wapo apa nchini,,,,,, huku mawasiliano naye yakiwepo na huku nikiamin ipo sku atatulia na kuanzisha naye maisha,,,,,,, asa mwezi wa kumi na mbili akawa amenichana ya kuwa anamtu ake na ndiye anayemhudumia hata huko shulen hivyo labda niwe sub,,, hapo nikamwambia siwezi fanyia mwanaume mwenzangu ivyo bora tu tuachane,,,, alinisihi sana make alisema yule jamaaaa anamsaidia tu lakin hana malengo naye hampendi,,, hapo ikabidi tu nimsihi abaki na jamaaaa na kwa ugum alielewa,,,.
Hapo nilipagawa sana kuskia hizo habar nikaona isiwe kesi nikawa nimeamua kutafuta msichana mwingine,,,,, niliafanikiwa kupata lakin alikua hasomi na alipokubali tu nikamwambia stashiriki naye tendo la ndoa mpaka nitakapo muoa,,,,, kwan niliona bora nisiendeleee kuzin na kuachana na mabinti na yeye alionesha nipenda kweli na alinipeleka kwao na kunitambulisha kwa wazazi wake,,,.
Walinipokea nami kwa vile nilikua nmeamua kupumzika niliahidi kumpenda na kumhudumia kadili niwezavyo,,,,, mda ulienda na ndipo nikabain aliweza acha shule sababu ya matatizo ya kiafya ,,,,, nami nikaona isiwe kesi nikamuchukua na kumpeleka hospital ya rufaa “hospital kubwa na private” alihudumiwa na akapona kabisaaaa asa nilikua nishaanza kupiga mishe mishe nikaomba nifungulie biashara,,,,,, alikataaa kulingana na mazingira ya kwao,,,,,...
Mda ukawa unaenda na wakwao wakawa wanadai ndoa nami niliwataarifu home wakasema haina shida waaambie tuwasiliane ili tuyamalize,,,,,, hakika mimi nilijiuliza sana kuhusu hilo swala na nikaamua muuliza binti na cha ajabu alikataaaaa kabisaaaa na kudai mpaka 2020/2021 ndio mda sahihi wa ndoa ,,,, asa wazaz wake walivyozid sumbua nikawaambia wamuulize mhusika na aliwajibu vile,,,.
Asa sijui nin kilitokea na mpaka huyu binti akanibadilikia na kuniambia nitafute tu mtu mwingine na hakutaka maelezo zaidi,,,,,, aiseeee nmechanganyikiwa sana ,,,,,,,, na mpaka saivi japo nawasiliana naye na kujaribu mtaka mawazo lakin bado tu inakwama,,,,, na imepelekea mishe za maendeleo nilizokua nafanya zimeanza kuyumba,,,,,
Hakika nmepata stresss sana za mapenzi na sielewi tatizo lipo wapi mpaka napitia haya,,, na nyumbani najiuliza jinsi ya kuwaaambia kilichojiri kwa mwenzangu make wazazi wake wenyewe walikua wanajaribu kusema wapeleleze lakin mpaka nao wamekili kuchemsha,,,,.
Nachotaka tu msaada walau wa kimawazo nin nifanye ama ninafail wapi kwenye hii sekta???? Kwa maaana nilikua nishaandaaaa plan ya biashara na mtaji kabsaaa kwamba by mwakani tunaanza utekelezaji,,, na skutaka niweke mtu bora nioe tu kwan mke atasimamia kwa uchungu kwa vile ni mali ya wote:"""
USHAURI WAKO NI WA MAAANA SANA KWAN UTAKUA UMEOKOA PAKUBWA KWA HALI NILIYONAYO.