Saikolojia ya Mtanzania ikoje? Kwanini wengi hushangilia kiongozi anapoonesha au kufanya jambo la kikatili?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.

Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya jinsi JPM alivyomshughulikia kweli kweli, na wakati akitoa maelezo hayo, baadhi ya wananchi walikuwa wakitoa sauti za vicheko. Lissu akahoji, kwamba mimi ninawasimulia madhila niliyopata halafu mnacheka, akauliza kuna jambo la kuchekesha na kifurahisha hapo?

Hili hata mimi lilinitia huzuni, jambo la mtu kupigwa risasi linatakiwa kusikitisha na kuhuzunisha pale linaposimuliwa. Watanzania wanacheka, sasa jambo gani litamfanya mtanzania asikitike?

Tumekuwa tukiona hata majukwaani, inapotokea kiongozi kaonyesha ukatili, wananchi humshangilia, mpaka leo watanzania wakikumbushwa ukatili wa JPM, wao hukataa, wanaamini kwamba wale waliookotwa kwenye viroba, utekaji, na mengine machafu, kwa sio "issue".

Nini kimetufikisha hapa? Nani ana wajibu wa kusimika wema katika nchi? Kwa nini watu makatili wanafurahiwa sana na watanzania?
 
Mkuu ulipsswa kwenda kuwauliza wale waliokuwa wanamcheka TAL, wengine hapo wanajuacTAL anatafuta huruma.Kwwnini awasimulie?....
 
Usichanganye mambo.
Nadhani unakumbuka issue ya Rufiji, Kibiti. Umaskini wetu ulitaka kuharibu Amani maeneo ya kusini. Vijana walienda kusoma ugaidi badala ya dini. Wakarudi na utaalamu wa kutumia silaha kuua.
Tumshukuru mwendazake kwa kutumia mbinu zote kuondoa balaa.
 
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.

Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya jinsi JPM alivyomshughulikia kweli kweli, na wakati akitoa maelezo hayo, baadhi ya wananchi walikuwa wakitoa sauti za vicheko. Lissu akahoji, kwamba mimi ninawasimulia madhila niliyopata halafu mnacheka, akauliza kuna jambo la kuchekesha na kifurahisha hapo?

Hili hata mimi lilinitia huzuni, jambo la mtu kupigwa risasi linatakiwa kusikitisha na kuhuzunisha pale linaposimuliwa. Watanzania wanacheka, sasa jambo gani litamfanya mtanzania asikitike?

Tumekuwa tukiona hata majukwaani, inapotokea kiongozi kaonyesha ukatili, wananchi humshangilia, mpaka leo watanzania wakikumbushwa ukatili wa JPM, wao hukataa, wanaamini kwamba wale waliookotwa kwenye viroba, utekaji, na mengine machafu, kwa sio "issue".

Nini kimetufikisha hapa? Nani ana wajibu wa kusimika wema katika nchi? Kwa nini watu makatili wanafurahiwa sana na watanzania?
Kuna mtu Yuko serious na Watanzania? Kwa taarifa yake JPM ni shujaa wao kama Makonda bila kujalisha alichomfanyia yeye na wengine.

Watanzania ni kama punda wanahitaji kuendeshwa Kwa Nguvu,Leo hii Samia wanamnanga na anaonekana mjinga na dhaifu kisa tuu hajaamua kuwa dikteta,katoa uhuru wa kuongea na mambo kama hayo.
 
Usichanganye mambo.
Nadhani unakumbuka issue ya Rufiji, Kibiti. Umaskini wetu ulitaka kuharibu Amani maeneo ya kusini. Vijana walienda kusoma ugaidi badala ya dini. Wakarudi na utaalamu wa kutumia silaha kuua.
Tumshukuru mwendazake kwa kutumia mbinu zote kuondoa balaa.
Kibiti ni case nyingine yenye mazingira yake, ni sawa ulete mada ya jinsi majambazi yalivyoshughulikiwa, haitakuwa relevant
 
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.

Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya jinsi JPM alivyomshughulikia kweli kweli, na wakati akitoa maelezo hayo, baadhi ya wananchi walikuwa wakitoa sauti za vicheko. Lissu akahoji, kwamba mimi ninawasimulia madhila niliyopata halafu mnacheka, akauliza kuna jambo la kuchekesha na kifurahisha hapo?

Hili hata mimi lilinitia huzuni, jambo la mtu kupigwa risasi linatakiwa kusikitisha na kuhuzunisha pale linaposimuliwa. Watanzania wanacheka, sasa jambo gani litamfanya mtanzania asikitike?

Tumekuwa tukiona hata majukwaani, inapotokea kiongozi kaonyesha ukatili, wananchi humshangilia, mpaka leo watanzania wakikumbushwa ukatili wa JPM, wao hukataa, wanaamini kwamba wale waliookotwa kwenye viroba, utekaji, na mengine machafu, kwa sio "issue".

Nini kimetufikisha hapa? Nani ana wajibu wa kusimika wema katika nchi? Kwa nini watu makatili wanafurahiwa sana na watanzania?
we jamaa sijui kama mzima nyuma
 
TL hakujua kusoma alama za nyakati enzi za JPM. Magufuli alifanya maamuzi magumu katika mambo mengi ili kuleta mlingano na ustawi wa nchi..

Hili kila raia mwema aliliona na alitambua nia na uthubutu wa JPM..kikubwa JPM aliaminiwa mno na wananchi na lolote alilosema watu walikuwa upande wake. Lissu alitaka kuwa outsmart watu na JPM na kutaka kuonyesha JPM si lolote si chochote..hiyo ilikuwa taiming mbaya mbele ya macho ya watu..yeyote aliyempinga Magu, raia waliamini si mwenzao..na ndio maana raia wengi hawakuumizwa na madhira ya ant- Magufulis.
 
Usichanganye mambo.
Nadhani unakumbuka issue ya Rufiji, Kibiti. Umaskini wetu ulitaka kuharibu Amani maeneo ya kusini. Vijana walienda kusoma ugaidi badala ya dini. Wakarudi na utaalamu wa kutumia silaha kuua.
Tumshukuru mwendazake kwa kutumia mbinu zote kuondoa balaa.
Saa hizi wameanza kurudi
 
M
TL hakujua kusoma alama za nyakati enzi za JPM. Magufuli alifanya maamuzi magumu katika mambo mengi ili kuleta mlingano na ustawi wa nchi..

Hili kila raia mwema aliliona na alitambua nia na uthubutu wa JPM..kikubwa JPM aliaminiwa mno na wananchi na lolote alilosema watu walikuwa upande wake. Lissu alitaka kuwa outsmart watu na JPM na kutaka kuonyesha JPM si lolote si chochote..hiyo ilikuwa taiming mbaya mbele ya macho ya watu..yeyote aliyempinga Magu, raia waliamini si mwenzao..na ndio maana raia wengi hawakuumizwa na madhira ya ant- Magufulis.
Magu alikuwa hovyo sana!
 
Jpm alukuwa muuaji
 
Sasa utaganga yajayo bila kujua ndwele zake zilikuwa nini?
Sasa tangu JPM amekuwa rais mpaka sasa ni mfu nyie Chadema bado mnaongea khs yeye tuu, kwan hamna ishu nyngn.?

Na msije kujichanganya kwenye kampeni mkamsema vibaya JPM mana dalili mnaziona kabisa mtakachofanywa kwenye sanduku la kura
 
Walicheka kwa kuwa wote tunajua kilichomtokea, sasa mbona anakuwa na nongwa na marehemu ?

Amwache JPM si hayupo tena?

Aeleze atakavyoibadili nchi na kurejesha maliasili zetu.
Hizi imani za kijinga ndizo zimeifanya Afrika ibaki nyuma. Historia ni muhimu sana sana kwenye kuchora ramani ya kusonga mbele. Usipojua utokako, yaliyotokea na makosa yaliyofanyika, katu huwezi kujua uendako na namna ya kuepuka usirudie tena makosa. Ila kwa elimu yetu ilivyo, sitegemei watu wengi walione hili.
 
TL hakujua kusoma alama za nyakati enzi za JPM. Magufuli alifanya maamuzi magumu katika mambo mengi ili kuleta mlingano na ustawi wa nchi..

Hili kila raia mwema aliliona na alitambua nia na uthubutu wa JPM..kikubwa JPM aliaminiwa mno na wananchi na lolote alilosema watu walikuwa upande wake. Lissu alitaka kuwa outsmart watu na JPM na kutaka kuonyesha JPM si lolote si chochote..hiyo ilikuwa taiming mbaya mbele ya macho ya watu..yeyote aliyempinga Magu, raia waliamini si mwenzao..na ndio maana raia wengi hawakuumizwa na madhira ya ant- Magufulis.
Ni mpumbavu pekee atapingana na ww
 
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.

Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya jinsi JPM alivyomshughulikia kweli kweli, na wakati akitoa maelezo hayo, baadhi ya wananchi walikuwa wakitoa sauti za vicheko. Lissu akahoji, kwamba mimi ninawasimulia madhila niliyopata halafu mnacheka, akauliza kuna jambo la kuchekesha na kifurahisha hapo?

Hili hata mimi lilinitia huzuni, jambo la mtu kupigwa risasi linatakiwa kusikitisha na kuhuzunisha pale linaposimuliwa. Watanzania wanacheka, sasa jambo gani litamfanya mtanzania asikitike?

Tumekuwa tukiona hata majukwaani, inapotokea kiongozi kaonyesha ukatili, wananchi humshangilia, mpaka leo watanzania wakikumbushwa ukatili wa JPM, wao hukataa, wanaamini kwamba wale waliookotwa kwenye viroba, utekaji, na mengine machafu, kwa sio "issue".

Nini kimetufikisha hapa? Nani ana wajibu wa kusimika wema katika nchi? Kwa nini watu makatili wanafurahiwa sana na watanzania?
Hujui kuwa utumwa unafanya mtu ajione hana thamani? Mtumwa hata ukimpa kiti ataona hastahili kukaa kwenye kile kiti. Watanzania wengi wanadhani shida zimeumbwa kwa ajili yao.
 
TL hakujua kusoma alama za nyakati enzi za JPM. Magufuli alifanya maamuzi magumu katika mambo mengi ili kuleta mlingano na ustawi wa nchi..

Hili kila raia mwema aliliona na alitambua nia na uthubutu wa JPM..kikubwa JPM aliaminiwa mno na wananchi na lolote alilosema watu walikuwa upande wake. Lissu alitaka kuwa outsmart watu na JPM na kutaka kuonyesha JPM si lolote si chochote..hiyo ilikuwa taiming mbaya mbele ya macho ya watu..yeyote aliyempinga Magu, raia waliamini si mwenzao..na ndio maana raia wengi hawakuumizwa na madhira ya ant- Magufulis.
✍️📝👌👊👏👍🤝🙏
 
Back
Top Bottom