Saikolojia ya Mtanzania ikoje? Kwanini wengi hushangilia kiongozi anapoonesha au kufanya jambo la kikatili?

Saikolojia ya Mtanzania ikoje? Kwanini wengi hushangilia kiongozi anapoonesha au kufanya jambo la kikatili?

Watanzania wengi tulimuamini JPM na kumuona kama kiongozi sahihi kupata kutokea kwenye Taifa hili, ndio maana kila anaposemwa JPM kwa ubaya basi unaweza kuingia matatizo wewe unayemsema.

Mitaani huku JPM amebaki kama alama hasa ya kiongozi anayepaswa kuwa Rais wa Tanzania.

Leo ukiitisha uchaguzi na mgombea Urais wa Chauma awe marehemu JPM na vyama vingine wawe waliopo na uchaguzi ukawa huru na wa haki basi Marehemu JPM atashinda Kwa kura nyingi saaana na hata wale wasiopiga kura watakuwa tayari kupiga kura.
 
Back
Top Bottom