Saikolojia ya Mtanzania ikoje? Kwanini wengi hushangilia kiongozi anapoonesha au kufanya jambo la kikatili?

Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.

Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya jinsi JPM alivyomshughulikia kweli kweli, na wakati akitoa maelezo hayo, baadhi ya wananchi walikuwa wakitoa sauti za vicheko. Lissu akahoji, kwamba mimi ninawasimulia madhila niliyopata halafu mnacheka, akauliza kuna jambo la kuchekesha na kifurahisha hapo?

Hili hata mimi lilinitia huzuni, jambo la mtu kupigwa risasi linatakiwa kusikitisha na kuhuzunisha pale linaposimuliwa. Watanzania wanacheka, sasa jambo gani litamfanya mtanzania asikitike?

Tumekuwa tukiona hata majukwaani, inapotokea kiongozi kaonyesha ukatili, wananchi humshangilia, mpaka leo watanzania wakikumbushwa ukatili wa JPM, wao hukataa, wanaamini kwamba wale waliookotwa kwenye viroba, utekaji, na mengine machafu, kwa sio "issue".

Nini kimetufikisha hapa? Nani ana wajibu wa kusimika wema katika nchi? Kwa nini watu makatili wanafurahiwa sana na watanzania?
Jiwe alikuwa iblis, wagalatia huwa wanafurahi kiongozi wa itikadi yao akitesa na kuua watu,sijui kwann!!? Wanachukia akija kiongozi wa wavaa kobazi ambao kihistoria wao wanatawala kwa utu na uwazi, wagalatia hapo sasa uanza kumchukia uyo kiongozi
 
Kuna mtu Yuko serious na Watanzania? Kwa taarifa yake JPM ni shujaa wao kama Makonda bila kujalisha alichomfanyia yeye na wengine.

Watanzania ni kama punda wanahitaji kuendeshwa Kwa Nguvu,Leo hii Samia wanamnanga na anaonekana mjinga na dhaifu kisa tuu hajaamua kuwa dikteta,katoa uhuru wa kuongea na mambo kama hayo.
Exctly, aya ni mapunda sio yakuyaonea huruma kabisa, samia inatakiwa ayatese aya mazuzu, kama ivyo sasaivi wanavyopelekewa moto kina Malisa
 
Sasa tangu JPM amekuwa rais mpaka sasa ni mfu nyie Chadema bado mnaongea khs yeye tuu, kwan hamna ishu nyngn.?

Na msije kujichanganya kwenye kampeni mkamsema vibaya JPM mana dalili mnaziona kabisa mtakachofanywa kwenye sanduku la kura
Jpm ws a killer
 
wakikumbushwa ukatili wa JPM, wao hukataa, wanaamini kwamba wale waliookotwa kwenye viroba, utekaji, na mengine machafu, kwa sio "issue
Una uhakika JPM alifanya hayo mambo?Ulete hapa.
Lissu anachekwa kwasababu wanamuona Mwehu tu.
Kwa hoja anavyowakilisha na anayemtuhumu inachekesha.
Ni kichaa tu anaropoka bora wamcheke.
 
Naona mnajizima data!! Mnajitoa ufahamu kipindi Tanzania inapitia shida, huyo lissu ndo alikuwa wa kwanza kushangilia tena alikua anapita kubwabwaja kabisa.
Kipindi ndege yetu imekamatwa ugenini lenyewe na ile mishavu lilikua linajichekesha.

Watanzania wamfungie na mayai viza kabisa sio tu kucheka na kuzomea. Kulia kupokezana kucheka kupokezana.

Hivi mi nna swali moja. Lissu anaamini ye akiwa raisi atafanya nini cha tofauti?
Heri shetani umjuae kuliko malaika usiemjua.

Hata kama CCM ina mapungufu tutapambana tu ila mfumo wa CHADEMA kuanza upya na takataka zao ni NOOO!
 
Mkuu ulipsswa kwenda kuwauliza wale waliokuwa wanamcheka TAL, wengine hapo wanajuacTAL anatafuta huruma.Kwwnini awasimulie?....
Mtoa post hajui kuwa walikuwa wanacheka kwasababu wanajua alikuwa anasema uongo! Ahahahahaha!!!
 
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.

Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya jinsi JPM alivyomshughulikia kweli kweli, na wakati akitoa maelezo hayo, baadhi ya wananchi walikuwa wakitoa sauti za vicheko. Lissu akahoji, kwamba mimi ninawasimulia madhila niliyopata halafu mnacheka, akauliza kuna jambo la kuchekesha na kifurahisha hapo?

Hili hata mimi lilinitia huzuni, jambo la mtu kupigwa risasi linatakiwa kusikitisha na kuhuzunisha pale linaposimuliwa. Watanzania wanacheka, sasa jambo gani litamfanya mtanzania asikitike?

Tumekuwa tukiona hata majukwaani, inapotokea kiongozi kaonyesha ukatili, wananchi humshangilia, mpaka leo watanzania wakikumbushwa ukatili wa JPM, wao hukataa, wanaamini kwamba wale waliookotwa kwenye viroba, utekaji, na mengine machafu, kwa sio "issue".

Nini kimetufikisha hapa? Nani ana wajibu wa kusimika wema katika nchi? Kwa nini watu makatili wanafurahiwa sana na watanzania?
Watu wameshachoshwa na wezi na wabadhirifu wa mali za Umma ndio maana wakiona kiongozi anakuwa mkali wanapata Angalau furaha kidogo na kuamini huenda huyo kiongozi atawashughulikia hao waovu 🙄
 
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.

Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya jinsi JPM alivyomshughulikia kweli kweli, na wakati akitoa maelezo hayo, baadhi ya wananchi walikuwa wakitoa sauti za vicheko. Lissu akahoji, kwamba mimi ninawasimulia madhila niliyopata halafu mnacheka, akauliza kuna jambo la kuchekesha na kifurahisha hapo?

Hili hata mimi lilinitia huzuni, jambo la mtu kupigwa risasi linatakiwa kusikitisha na kuhuzunisha pale linaposimuliwa. Watanzania wanacheka, sasa jambo gani litamfanya mtanzania asikitike?

Tumekuwa tukiona hata majukwaani, inapotokea kiongozi kaonyesha ukatili, wananchi humshangilia, mpaka leo watanzania wakikumbushwa ukatili wa JPM, wao hukataa, wanaamini kwamba wale waliookotwa kwenye viroba, utekaji, na mengine machafu, kwa sio "issue".

Nini kimetufikisha hapa? Nani ana wajibu wa kusimika wema katika nchi? Kwa nini watu makatili wanafurahiwa sana na watanzania?

1. Afya ya akili. Kufurahia maumivu ya wengine ilhali haya kupunguzii magumu yako.
2. Ili tuendelee tunahitaji watu pamoja na mambo mengine ma3. Lkn siyo kila watu ni wadau au wanaweza kujiletea maendeleo. Wengine ni mfigo kwa familia, jamii na kwa taifa kwa ujumla. Watu wetu wengi siyo rasilimali au vifaa kwa taifa, bali ni mzigo. Kwa hiyo ili tuendelee tunahitaji si watu pekee, bali pia ubora wa watu. Hata tuwe na idadi kubwa ya watu kiasi gani. Kama hawaja boreshwa, ni sawa na dhahabu ambayo bado haijapitishwa kwenye moto. Bado tutakuwa duni na masikini.
 
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo.

Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya jinsi JPM alivyomshughulikia kweli kweli, na wakati akitoa maelezo hayo, baadhi ya wananchi walikuwa wakitoa sauti za vicheko. Lissu akahoji, kwamba mimi ninawasimulia madhila niliyopata halafu mnacheka, akauliza kuna jambo la kuchekesha na kifurahisha hapo?

Hili hata mimi lilinitia huzuni, jambo la mtu kupigwa risasi linatakiwa kusikitisha na kuhuzunisha pale linaposimuliwa. Watanzania wanacheka, sasa jambo gani litamfanya mtanzania asikitike?

Tumekuwa tukiona hata majukwaani, inapotokea kiongozi kaonyesha ukatili, wananchi humshangilia, mpaka leo watanzania wakikumbushwa ukatili wa JPM, wao hukataa, wanaamini kwamba wale waliookotwa kwenye viroba, utekaji, na mengine machafu, kwa sio "issue".

Nini kimetufikisha hapa? Nani ana wajibu wa kusimika wema katika nchi? Kwa nini watu makatili wanafurahiwa sana na watanzania?
Wewe na Lissu wako wote ni majunya tu
 
Watanzania wanamcheka TAL kwa vile anachoongea ni uongo na kutafuta huruma kwa kumsingizia Mwamba JPM kipenzi cha Watanzania, yaani kila kukicha tuongelee Lissu kupigwa risasi, ni Watanzania wangapi wamepigwa risasi au kudhurika kwa matukio tofauti tofauti yakiwemo ya ujambazi na mengine mengi? lakini yanapita.
 
Watanzania wengi wana akili ndogo sana ila bado naamini lisu ana nafasi kubwa kwenye nyoyo za watanzania hasahasa wasomi na wanaojua kuchambua mambo kisomi.
Hao wengine usiwalaumu ni ujinga na umbumbumbu amini kwamba watanzania wengi sana ni wajinga na wapumbavu. Kizazi hiki kikipita kijacho ndio lissu atakuwa ana fit in lissu anaishi ahead of time.alitakiwa aishi USA sio huku kwa majitu majinga.
 
Watanzania wanamcheka TAL kwa vile anachoongea ni uongo na kutafuta huruma kwa kumsingizia Mwamba JPM kipenzi cha Watanzania, yaani kila kukicha tuongelee Lissu kupigwa risasi, ni Watanzania wangapi wamepigwa risasi au kudhurika kwa matukio tofauti tofauti yakiwemo ya ujambazi na mengine mengi? lakini yanapita.
Tukio la lissu halikuwa la kawaida na litadai hata akifa sio kila jambo ni la kuacha lipite.
 
Back
Top Bottom