Saikolojia ya mwanamke - Fahamu kuhusu mtoto wa kike

Mtu unakaaje na kumchambua au kijadili kiumbe ambacho hakiweki kichwa chake maji ndani ya wiki mbili au zaidi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jokes!
Na kina kucha bandia..nywele bandia..kope bandia..rangi ya uso bandia sabab ana makeup ...urefu bandia...kavaa mchuchumio awe mref...lips za mdomo kaweka rang..yaan hawa watu hii tabia sjui ilitoka wap?..sjui ndo nyoka aliwafundisha pale bustanin...halaf mtu anachkua muda wake et kuwaelewa mara sjui kuwa please
 
Hamtakaa muelewe mwanamke 😂😂😂
 
Ni bajeti, na aina ya nywele tunazosuka zinaweza kukaa muda mrefu kiasi bila kufumuka ndo kinachofanya tukae nazo kuanzia wiki 2 na kuendelea..
Iyo Ni kwa wanawake wa kiafrika TU.

Mbona wazungu wanaoga nazo na hawana tabu?
 
Mtu unakaaje na kumchambua au kijadili kiumbe ambacho hakiweki kichwa chake maji ndani ya wiki mbili au zaidi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jokes!
Wiki mbona chache sana, wewe usuke nywele za kimasai za kudonyoa-donyoa eti wiki 2 utie maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakatafute pesa huko!
 
Ukweli ni kwamba saikolojia na tabia za wanawake wengi zinategemea na background ya walikozaliwa.

Saikolojia inaundwa na malezi.
 
Hiyo namba tisa nadhani ungetumia neno EGO tu
 
Ahsante Sana mkuu mengi Sana nimejifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…