Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona eehhh wengine miez sita haweki maji kweny kichwaMtu unakaaje na kumchambua au kijadili kiumbe ambacho hakiweki kichwa chake maji ndani ya wiki mbili au zaidi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jokes!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uzee upi unaozungumzia na ukifa ghafla kwa ajali utampa nani wosia au maelekezoNitakuwa bize kutafuta hela na kuzificha kimya kimya siri yangu simwambii mtu mpaka uzeeni ndiyo nitawaonyesha wanangu mahali nilipozificha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wanawake hatuko hivyo tunawapenda sana wnaume na tunahuruma mno sema shetani tu anaingilia katiKama ambavyo hatuelewi mwanamke aliongea Nini na shetani pale edeni,
Ndo hivyo hivyo ilivyo vigumu kuelewa ana akilini mwake anawaza Nini.
Mwanamke Ni kiumbe dhaifu ila complex na katili Sana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] jaman tusipo fanya hivyo situtaitwa wazee hivyo wacha tuendlee kuwavutia kwa sauti fake na maisha fake mtaelewa tu urembo ni ninNa kina kucha bandia..nywele bandia..kope bandia..rangi ya uso bandia sabab ana makeup ...urefu bandia...kavaa mchuchumio awe mref...lips za mdomo kaweka rang..yaan hawa watu hii tabia sjui ilitoka wap?..sjui ndo nyoka aliwafundisha pale bustanin...halaf mtu anachkua muda wake et kuwaelewa mara sjui kuwa please
Sasa wazungu nywel zao laini na ndefu hawahangaik kusuka. Sisi waafrika tunahangaika kuska na utunzaji wa nywel sifurIyo Ni kwa wanawake wa kiafrika TU.
Mbona wazungu wanaoga nazo na hawana tabu?
Siwezi kufa kwa ajali naishi porini huku hakuna magari napishana nayo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uzee upi unaozungumzia na ukifa ghafla kwa ajali utampa nani wosia au maelekezo
Ni upotofu,kuiga iga na kutokuthamini mungu alichokuumbia.Sasa wazungu nywel zao laini na ndefu hawahangaik kusuka. Sisi waafrika tunahangaika kuska na utunzaji wa nywel sifur
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Inshort,
[emoji117]Mwanaume wa Mtwara au tanga anampiga mkewe kwa upande KANGA.[emoji12]
WAKATI
[emoji117]Mwanaume wa kagera au Mara anampiga mkewe kwa upande wa PANGA[emoji12]
Jipe moyo ila ajali ni kokote waweza kudhuliwa na viumbe hatar naukapotelea porini hivyo nivyema uwe na mwanasheria wako ili kulinda usalam wa malizako na kusaidiwa wanao wasidhurumiwe Mali na ndugu zakoSiwezi kufa kwa ajali naishi porini huku hakuna magari napishana nayo
Kuhusu aina ya uzee, hiyo ni siri yangu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa ukisema hivyo tukinyoa si tutakimbiwa barabaran vichwa vyetu tunavijua wenyew bora muendelee kuvumilia harufu za nywele hakuna namnaNi upotofu,kuiga iga na kutokuthamini mungu alichokuumbia.
Matokeo ya Ni kujipa tabu Sana na kunuka vichwani
Aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea.Jipe moyo ila ajali ni kokote waweza kudhuliwa na viumbe hatar naukapotelea porini hivyo nivyema uwe na mwanasheria wako ili kulinda usalam wa malizako na kusaidiwa wanao wasidhurumiwe Mali na ndugu zako
Kwani lazima tuwaelewee?Kwani unafikiri ni hayo tuu basi!? Kutuelewa kihivyo bado ni ngumu ndio maana maandiko yanasema "Muishi nao kwa akili"
Kwani lazima tuwaelewee?
Hapa tulipo TU hatuwaelewi lakini maisha yanaenda.
Mtoa mada Hii ni chai[emoji2],
Huu Uzi wako wote haufiki hata kurasa 5 TU ya kilichoandikwa kwenye iki kitabu chote[emoji12][emoji116]View attachment 2029704View attachment 2029705
Umeelewek ndugu nawala sikuhitaj majibizano yakukerana hivyo tusameheane kwa yote siku njemAliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea.
Kama upo bize kuwaza utakufa kwa ajali ni kweli utakufa kwa ajali
Mimi sina wazo la kufa kwa ajali
na ninakushauri uendelee na kazi zingine usipoteze muda kujibizana na mimi
Hii Nchi inawatu wa hovyo sanaVijana tujikite zaidi katika kutafuta mpunga kuliko kupoteza muda kusoma saikolojia ya mwanamke.
Ukiwa na mzigo mfukoni hawa viumbe utawapanga mpaka utaanza kuwakimbia
Hilo suala lipo wazi😂[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona eehhh wengine miez sita haweki maji kweny kichwa
Sasa jee!Kikubwa uzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]