Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Nadhani unafaham kuwa kwa asili yao ni ngumu kuongezea nywele nyingine ilihali wanazo ndefu na kuzitengeneza wajiskiavyo..Iyo Ni kwa wanawake wa kiafrika TU.
Mbona wazungu wanaoga nazo na hawana tabu?
Au afro kinksπ ni miezi kuanzia 6 na kuendelea..Wiki mbona chache sana, wewe usuke nywele za kimasai za kudonyoa-donyoa eti wiki 2 utie maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakatafute pesa huko!
Hawawezi kutuelewa hawaUpo sawa kabisa
Mbaya sana hiiWanawake ukiwazingatia sana hutofanya mambo yako..mwishoni hutoishi ndoto zako.
Hahahaaaaa. Kwenye jaba au?Nitakuwa bize kutafuta hela na kuzificha kimya kimya siri yangu simwambii mtu mpaka uzeeni ndiyo nitawaonyesha wanangu mahali nilipozificha
Ni kweli lakini Mkuu usisahau kama kuna urithi wa DNA Pia.Ukweli ni kwamba saikolojia na tabia za wanawake wengi zinategemea na background ya walikozaliwa.
Saikolojia inaundwa na malezi.
Kama kuna urithi wa DNA maana yake kila mtu ana DNA za kwake,na kama ni hivyo maana yake kila mtu ana saikolojia yake.Ni kweli lakini Mkuu usisahau kama kuna urithi wa DNA Pia.
Ni kweli kabisaUkiona mtu analialia sana kuhusu mapenzi ujue hana mzigo wa kutosha
Ha ha ha waache utani na vichwa vyetu, j'nne nimesuka eti wiki ijayo nifumue nimeukalisha hapo karibia masaa 6 jamani sina kazi nyingine? Weeee [emoji23][emoji23][emoji23]Au afro kinks[emoji23] ni miezi kuanzia 6 na kuendelea..
Watuache tu kwa kweliHa ha ha waache utani na vichwa vyetu, j'nne nimesuka eti wiki ijayo nifumue nimeukalisha hapo karibia masaa 6 jamani sina kazi nyingine? Weeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema saikolojia za wanawake zinategemea background ya walikozaliwa za wanaume zinategemea wapi?Ukweli ni kwamba saikolojia na tabia za wanawake wengi zinategemea na background ya walikozaliwa.
Saikolojia inaundwa na malezi.
Mada ni wanawake ndio maana nimewataja wanawake pekee.Unasema saikolojia za wanawake zinategemea background ya walikozaliwa za wanaume zinategemea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada ni wanawake ndio maana nimewataja wanawake pekee.Unasema saikolojia za wanawake zinategemea background ya walikozaliwa za wanaume zinategemea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,Ukweli ni kwamba saikolojia na tabia za wanawake wengi zinategemea na background ya walikozaliwa.
Saikolojia inaundwa na malezi.
Ha ha ha...Nadhani unafaham kuwa kwa asili yao ni ngumu kuongezea nywele nyingine ilihali wanazo ndefu na kuzitengeneza wajiskiavyo..
Japokuwa wengine wanaweka weavings pia ila products zao ni tofauti na zetu huku..
Sasa mimi mdada wa tandale ninnue wigi/weaving la elfu 7 hapo manzese afu nioge kuanzia kichwani na weaving langu+ hali ya hewa yetu hii[emoji3062][emoji3062]. ..unataka watu wazimie tukipishana[emoji23][emoji23][emoji23]
Inshort,Mada ni wanawake ndio maana nimewataja wanawake pekee.
Ingelikuwa amewagusa na wanaume ningesema pia background za wanaume zinatoka wapi,hivyo sijawataja wanaume kwa kuchunga muktadhwa wetu lakini hata wanaume saikolojia zao zinategemea na malezi.
Malezi ndio huzaa saikolojia za watu.
Ndio maana leo mtu wa kagera atakuwa na saikolojia tofauti na mtu wa mtwara katika jambo la aina moja kila mtu atareact kwa namna tofauti.
Umenichekesha sana Mzee Kigogo π π πVijana tujikite zaidi katika kutafuta mpunga kuliko kupoteza muda kusoma saikolojia ya mwanamke.
Ukiwa na mzigo mfukoni hawa viumbe utawapanga mpaka utaanza kuwakimbia