Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Aug 8, 2023 #101 Mzee Kigogo said: Vijana tujikite zaidi katika kutafuta mpunga kuliko kupoteza muda kusoma saikolojia ya mwanamke. Ukiwa na mzigo mfukoni hawa viumbe utawapanga mpaka utaanza kuwakimbia Click to expand... Soma huku unatafuta hela,maana unaweza usizipate pia,wakati huohuo mapenzi yanakutesa.
Mzee Kigogo said: Vijana tujikite zaidi katika kutafuta mpunga kuliko kupoteza muda kusoma saikolojia ya mwanamke. Ukiwa na mzigo mfukoni hawa viumbe utawapanga mpaka utaanza kuwakimbia Click to expand... Soma huku unatafuta hela,maana unaweza usizipate pia,wakati huohuo mapenzi yanakutesa.